Kusingekuwa na magari ya mitumba (used cars)...

Kusingekuwa na magari ya mitumba (used cars)...

Kujiendekeza mtu. Mtu ananunnua used car 50-80m atashindwa brand new car ya $30,000?
RRONDO gari za 50-80m hapa mjini ni asilimia ngapi? Most of us drive 10-25m cars.
 
Ndio maana nikasema, wengi tusingeendesha hayo magari. Imagine mtu anajichanga hadi afikishe 10m ili anunue vitz FOB $500, hata akipata opportunities za loan hawezi kulipa mkopo wa gari yenye FOB $16,000. Itamchukua huyo mtu miaka mingapi kumaliza huo mkopo?
Mikopo always ni muda mrefu. Wewe tu, unaweza kulipa hadi kwa miezi 60.
 
Mimi na kipato changu hiki kidogo ningepata wapi jeuri ya kununua gari mpya?
Pikipiki zenyewe tu Bongo tunaletewa zile zenye thamani ndogo kama Boxer, King lion n.k
Ni vyema mitumba yote iachwe iendelee kuingia tukikomaa itapotea yenyewe automatically, na si kwa hisia hizi za wanasiasa.
Leo mtanzania wa kawaida hataweza kumudu kununua suruali ya 50 elfu ashazoea nguo za elfu tano na elfu kumi tu.
 
Uzuri dunia hii lazima second hand ziwepo, kwa vile wapo wanaotumia vitu kwa mda mfupi na wakihitaji vipya basi huuza vya zamani na kununua latest.

Kwa mfano hizi babywalkers;
Toyota Passo toleo la 2017 mpya ni $14,000 kwa 2WD na $16,000 kwa 4WD.
Toyota Vitz model ya 2017 inaanzia $15,000 hadi $19,000
IST ambayo ni uniform kwenye mji kama Dar, toleo la 2017 ni $24,000.

Gari kama Rav4 ni gari inayotumiwa sana na watanzania, model ya 2017 bila $26,000 hadi $29,000 bado hujaikamata.

Zote hizo ni FOB, bado hujalisafirisha na kupigwa ushuru wa hapo bandarini, kweli wengi waliopo barabarani leo wangekuwa watazamaji tu. Leo hii gari unauzwa FOB $350 au/hata chini ya $100, damn asante mtumba.

Hakika bila mitumba tungepata shida sana, hata hizo nguo inabidi waendelee kuwaruhusu watanzania wanunue mitumba tu, bado sisi ni taifa lenye masikini wengi.
Ni suala la uchumi wa nchi na vipato vya watu wake.
Botswana hawanunui mitumba. Magari yao ni straight toka viwandani. Nazungumzia mfanyakazi wa kawaida.
Sana sana inakuwa mkopo unaolipika ndani ya miaka kadhaa tu. Kampuni au watu wa marketing huwafuata maofisini kuwaomba wakope magari yao
 
Mkuu, kwa uchumi n mfumo wetu inawezekana kweli?
 
Mimi na kipato changu hiki kidogo ningepata wapi jeuri ya kununua gari mpya?
Pikipiki zenyewe tu Bongo tunaletewa zile zenye thamani ndogo kama Boxer, King lion n.k
Ni vyema mitumba yote iachwe iendelee kuingia tukikomaa itapotea yenyewe automatically, na si kwa hisia hizi za wanasiasa.
Leo mtanzania wa kawaida hataweza kumudu kununua suruali ya 50 elfu ashazoea nguo za elfu tano na elfu kumi tu.
Nami ndio hoja yangu, wengi magari ni kuanzia 10-25m, leo umwambie anunue vitz mpya ya $16,000= 32,000,0000 hiyo ni bei tu bado hujalipa hata ushuru.

Waache watu wanunue hata mitumba ya nguo, fridges, tv etc kwa sababu uchumi wetu wengi bado sana.
 
kwa si kuna bajaji kama gari mil 7 brand new inabeba watu wanne yaani BMW baba mama watoto, ni wakati wa kuzaa watoto wawili ili waenee
 
Mkuu, kwa uchumi n mfumo wetu inawezekana kweli?
Mkuu payments zipo hadi za $200 per month. Mbona vijana wengi wanamishahara na vipato vizuri tu. Hivi unafikiri hizi used cars vijana wanazokopa wanakatwa kiasi gani?
 
Mkuu payments zipo hadi za $200 per month. Mbona vijana wengi wanamishahara na vipato vizuri tu. Hivi unafikiri hizi used cars vijana wanazokopa wanakatwa kiasi gani?
Waliopo kwenye mfumo rasmi ndio wanafaidi kukopa, ni asilimia ngapi nchi hii wapo kwenye mfumo rasmi?
 
kwa si kuna bajaji kama gari mil 7 brand new inabeba watu wanne yaani BMW baba mama watoto, ni wakati wa kuzaa watoto wawili ili waenee
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Hahaha
 
Waliopo kwenye mfumo rasmi ndio wanafaidi kukopa, ni asilimia ngapi nchi hii wapo kwenye mfumo rasmi?
Mbona wengi tu hawapo kwenye mfumo rasmi wanakopeshwa. Btw its not for everyone hata huko ulipoona hii its not for everyone still used cars ndio zinatawala market,tofauti yao na sisi used cars zao wananunua humo humo sio imported.
 
...nadhani pia wengi tunanunua third hand, second hand bado ni ghali sana. Nilikuwa nawaza tu hii kitu ya used cars.
 
...nadhani pia wengi tunanunua third hand, second hand bado ni ghali sana. Nilikuwa nawaza tu hii kitu ya used cars.
Bila finance brand new car kwa wengi ni ndoto hata huko duniani.
 
Car loan/finance ingeshika hatamu. Hivi unajua unaweza kukopa gari mpya na kulipa from $700? Nenda CMC au CFAO kaulize tena hizo ni high end motors.
Kwa small cars kama Vitz ingekuwa from $100 hivi. Nchi nyingi zilizoendelea wanaendesha brand new cars kwa utaratibu huu.
Na baada ya muda unafanya part exchange unongeza pesa kidogo unawaachia gari unachukua mpya. Unaweza kuishi maisha yote hujui MOT
 
Na baada ya muda unafanya part exchange unongeza pesa kidogo unawaachia gari unachukua mpya. Unaweza kuishi maisha yote hujui MOT
Ndio maana nikasema, kwa mfumo wetu wa ajira zisizo rasmi, je sisi wa 10m tumgeweza vipi kuchukua mikopo ya kununua brand new cars kwa 50m?
 
Wote ambao hawajaolewa wangekuwa mabikra sijui bei zingekuwaje!
 
Back
Top Bottom