Kusingekuwa na magari ya mitumba (used cars)...

Kusingekuwa na magari ya mitumba (used cars)...

Lakini mitumba toka Japan sionagi tofauti na hizi gari mpya toka China na India, mtumba wa Mitsubishi Canter ni bora kuliko gari mpya aina ya Shifeng au Eicher
 
Mtu unanunua gari ya miaka saba au nane iliyopita, mileage arround 50K Kms, kwa less than Usd 6,000 FOB na inaonekana poa kabisa, ni vigumu kushawishika kununua brand new. car Maana kiaina utaratibu ushazoeleka na wengi ndio wanamudu wanamudu hapo.
 
Nami ndio hoja yangu, wengi magari ni kuanzia 10-25m, leo umwambie anunue vitz mpya ya $16,000= 32,000,0000 hiyo ni bei tu bado hujalipa hata ushuru.

Waache watu wanunue hata mitumba ya nguo, fridges, tv etc kwa sababu uchumi wetu wengi bado sana.
Yaani maisha ya watz ni ya kuungaunga.
Mungu atubariki hakika
 
Nilikuwa naangalia DW siku moja kati ya 2012-2014, ikarushwa habari iliyokuwa inasema Ujerumani walikuwa wanafikiria kuweka masharti magumu kwenye uingizwaji wa magari mtumba. Idadi ya magari mtumba ilikuwa inaongezeka kwa kasi ambayo inatishia uhai wa viwanda vya magari mapya. Kumbe magari mtumba ni mkombozi si kwa TZ pekee.
 
Back
Top Bottom