Kusimamia ukucha..

dah.. heshma zenu kwa wazee wa kucmamia ukucha... ila hwa wanawke hawarzik.. yan watmbea karbu 30mntc dem hjakjoaaaa!!????,,,.
 
Utakua hujamkamata vizuri huyo..Mtoto wa kike ndani ya dkk 15 anatakiwa awe ashakojoa kimoja.
 
zungumzieni mambo ya kiume...
hizi bla bla ziacheni jamani
Wanaume kila dakika tunaumizwa na nyie kina dada,yaani mkisha mmaliza mwanaume akabaki na suruali,mara mnaanza kumsugua na pilipili mpaka anakufa kwa kihoro,nyie haooooo mnadaka tawi lingine kama nyani kwenye mti wa mapera,miti ya mapera kuna siku yote inaanza kuteleza halafu mnaanguka.huo ndio wakati mmeisha chakaa,sura zimeruka kama kitenge cha Urafiki textile na pia magonjwa yasiotibika.
 
Asili ya neno hili hapo zamani ilikuwa ni kulifuatilia jambo unalotaka kulijua au linalokusumbua mpaka upate kulijua vyema au mpaka ulijue mwisho wake......
Lakini kwa kuwa vijana wa siku hizi fikra za ngono zimeweka kambi vichwani mwao....wao kila jambo wanalitafsiri katika mlengo huoo huo tu.......

Zamani ukisikia watu wanasemezana kuwa nilikuwa kwenye show mpaka majogoo yanawika...unajua kuwa hao watu walikwenda dansi.....
Lakini siku hizi ukisikia vijana wanasema walikuwa kwenye show mpaka asubuhi...ujue walikesha kwenye uzinzi......
 
Kiswahili kinakua mdau..Ila umesema kweli vijana wengi siku hizo wanaeaza kunong'oneka tu. Nadhani na huu utandawazi unachangia
 
Back
Top Bottom