Kusimamia ukucha..

Kusimamia ukucha..

Teh..Watoto wa kuja wanateguka vidole na kung'oa kucha kwa maneno yenu hayo..Wengine wanayabeba kama yalivyo
Madogo wanachukua kila kitu kama kilivyo😀😀😀
 
Wanaume wenyewe hawa Wa chipsi mayai na sprite😉
Anasimamia ukucha kwa mwaka Mara moja..😀😀😀
 
Kusimamia kucha kuna hatari kubwa ya kupata ngoma
Ngoma haiwezi kukupata kwa kusimamia kucha kama uko makini kwakua hata kwa mkeo inasimama kucha na usiposimamia kucha vizuri unachapiwa na wanaojua hiyo kazi,wee jilegezelegeze tu uone
 
Ngoma haiwezi kukupata kwa kusimamia kucha kama uko makini kwakua hata kwa mkeo inasimama kucha na usiposimamia kucha vizuri unachapiwa na wanaojua hiyo kazi,wee jilegezelegeze tu uone
Well said
 
wanaume wa Dar bwana!
hivi mwanaume kamili waweza kujisifu mambo ya chumbani????!!!
hizi tabia za kishoga ( michicha mwiba)
Basi Ora mimi sizungumzii mambo ya chumbani,mimi nazungumzia mambo ya kwenye Noah.
 
Back
Top Bottom