Kusimamia ukucha..

Kusimamia ukucha..

[emoji12] [emoji12] na kusimamia mfumbati je
 
Na hasa maneno yanayohusu hako kamchezo ka wakubwa, kila siku msamiati mpya.

Bora hata hapa JF msamiati wetu wa kugegeda ni mmoja tu, haubadilikagi.
dushe, mbunye, kugegeda... Hii baahdi tu ya misamiati hum jf
 
Wakuu shukran kwa hii shule..Kumbe ni kumridhisha mwanamke tu. Basi itabidi wanaume tusimamie kucha,na vidume vingi vinasimamia kucha kwa michepuko kuliko wenza wao.
we hujawahi kuona mtu ananyenyemea? by the way kusimamia ukucha ipo kweli,ukiacha hyo ya kufika....
 
mambo ya kugegeda kwa sifa yalinishinda
Kwanza kama mwanamke unataka upige shoo ya kawaida na asiwe anakusumbua usije ukajidanganya usimamie kucha utasumbuliwa mpaka uone mwanamke kero.Wanawake wakinogewa ni wasumbufu mno.
 
Hahaha sio kwamba uwezo ndio tatizo???[emoji119] [emoji119]
Siku hizi kuna kitu ya Kongo watu wanapaka tu kwenye kichwa cha dushe mbona balaa tupu.Utafuatwa hadi siku nyingine ukasimamie shoo
 
Wengine ni maneno tu ili kutafuta "kick" aonekane kwamba anaweza saaana. Kumbe ukimpeleka kwe shoo yenyewe nusu dk wazungu hawa hapa. Na mivyakula hii vijana wanashindia hapa mjini siku hizi ndo shida tu. Acha wadada wenyewe wasifie kuwa ama kwa kweli jamaaa ni mjuvi sana

Mkuu ni kweli, ukiona chipsi yai inapigiwa promo kwa wana dar ujue mambo kushney..watu watakuja kisifia kusimamia magoti
 
Back
Top Bottom