kahawa will tempt me, maana kahawa ya JF nina branding ya JF, ukinywa tu, unasahau kuaga...LOL
Hapa JF waweza sahau ma-shida yako yote...
But if I go for it, huku ntalala njaa mpendwa... ntakua mgeni wa nani sasa?
If thats the case...babu anatupa mkongojo wake, babu anasahau ugoro wake, babu anaongozana na Leney wake kwenda kwenye nchi ya kusadikika.
Wajukuu niagieni kwa bibi enu. Lets go Leney darling. Lets go!
Babu ona sasa, nisingejibu tu ile post yako ndo dawa...maana hapa am bizzy smiling...WE NDO UMESABABISHA...aaagggrrr!!!
Hapo kwenye red...ntakua nakimbia mvua nakimbilia baharini...yaani nakimbia addiction, halafu naondoka na addiction source..LOL
Leney has refused...Leney is being a strong girl... so Leney must go ALONE!!
hahaha!huyo ndo babu huyo,huyo na fild masho huyo,huyo ndo babu matiti huyo,huyo ndo big braza odm huyo......ghafla umetupa mkongojo?kwanza ulivyonichekesha kule kwa sred ya chatrum nimekununia,huna huruma na mbavu zangu!
Sorry mjukuu,
leo babu yuko bize na Leney......wajukuu alionipa Mungu...sitampoteza hata mmoja.
Ntawaacheni nyie 99 kwa bibi yenu wakati nahaha kumrudisha huyu mmoja. Lazima muwepo wote 100.
Leney, where r u @? Babu is looking for you!
hahaha!thx dearest,nimecheka ingawa on the other side umenihuzunisha!the smile will alwayz be here 4 u,naomba usikawie kurudi,,,gud cheer
hahaha!leney is no where to be seen,babu rudi kitandani kwa huzuni,,lol
Hii lazima niandike kama kumbukumbu.... Babu kanitungia shairi... sijui nikafungue thread nikali-paste hili shairi...LOLNinakuomba leney,
Usimkimbie kimey,
Kaa mpaka mwezi Mey,
Babu nitakupa Hey!
Bila ya wewe jamvini,
Babu takuwa tabuni,
Naomba yako hisani,
Ubaki kwetu kundini.
Babu nitasikitika,
Japo sitakasirika,
Kukukosa kwa hakika,
Nitaishi kwa mashaka.
Unataka kuniua,
Kwa presha kujifilia?
Hebu badiliyo nia,
Bado twakuhitajia.
Watu wote semeni..TUNAKUPENDA LENEY, USIONDOKE LENEY!
Babu anaitikia Amina, japo ana hangover Mungu atamsamehe na kuisikiliza sala yenu.
Narudi kitandani kulia kwa ajili ya Leney kutukimbia.
Sorry mjukuu,
leo babu yuko bize na Leney......wajukuu alionipa Mungu...sitampoteza hata mmoja.
Ntawaacheni nyie 99 kwa bibi yenu wakati nahaha kumrudisha huyu mmoja. Lazima muwepo wote 100.
Leney, where r u @? Babu is looking for you!
Oh Leney,karibu tena dearest......si twaingia we watoka jamani......
Thanks dearest...
Yani hapa inabidi uone jinsi gani hum ni pazuri...hadi nimekuwa addicted....
Karibu na feel at home..naomba nikirudi nikukute..sawa mamie?
OMG....where is babu's Leney?
Leney come back pleeeeaaaase!
Please come back for me...........
you go for it kwa machale.si unajua mguu nje mguu ndani kana sisi wengine.lakini usijitenge kabisa.unaweza ukawa na hali mbaya kuliko sasa au ukaishia kua addicted na swala lingine ambalo ni hatari kuliko jf
Hii lazima niandike kama kumbukumbu.... Babu kanitungia shairi... sijui nikafungue thread nikali-paste hili shairi...LOL
babu basi mi naona nikae hadi mwezi mei...
Hili shairi limeningiia kichwani,
Lakini sasa inabidi mbavu zangu nizifungulie na kuzilipia bima...
Mjukuu Leney kashawishiwa na Babu...Mjukuu Leney kaanza kubadili mawazo...