JOHN ze DON
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 140
- 135
Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
kushobokewa ni ile hali ya mtu kukushobokea hivi hili neno ni kiswahili kweli, kushobokewa ni ile hali ................... Loading please waite......................... No accesseskushobokewa maana yake nini hasa? Kupendwa ni kushobokewa?
Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
Yaani umenikumbusha mbaliii.... ETI KWENYE GROUP DISKASHENI MTU AKAULIZA, ... what is chemistry? Mwingine akajibu chemistry is chemistry....kushobokewa ni ile hali ya mtu kukushobokea hivi hili neno ni kiswahili kweli, kushobokewa ni ile hali ................... Loading please waite......................... No accesses
Sio kwamba wanashobokewa, bali huwa wanajua wanawake wanataka nini....
Baada ya kujua wanawake wanataka nini, huwa wanawapa hizo "nini"...
Kushobokewa maana yake nini hasa? Kupendwa ni kushobokewa?
Kushobokea ni hali flani ya kujipendekeza kwa mtu..hii ni slang ya mtaani zaidi..Kushobokewa maana yake nini hasa? Kupendwa ni kushobokewa?
Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
Na pia inawezekana anashobokewa na wale wanaoona anawafaa wao na inawezekana hakataliwi anapotongoza kwa sababu anatongoza wanaotongozeka na yeye! Wanawake wako wa aina nyingi na mahitaji yao yanatofautiana kutokana na Malezi, Mila, Utamaduni, Akili, Uwezo, nchi walizotoka, n.kSio kwamba wanashobokewa, bali huwa wanajua wanawake wanataka nini.... Baada ya kujua wanawake wanataka nini, huwa wanawapa hizo "nini"...
Uko sahihi brother, usiige, kuna wengine wanachukia vitu vinavyoonekana kama ni sifa kwa wengine vikiwamo upole na hekima.Kupendwa ni kama haiba ya mtu. Saa nyingine, hata tabia, mwenendo wa mtu, upole, hekima au heshima ya mtu inaweza kumfanya ashobokewe. Angalizo: usiige, utapigwa vibuti vya shingo!!!
Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
Na pia inawezekana anashobokewa na wale wanaoona anawafaa wao na inawezekana hakataliwi anapotongoza kwa sababu anatongoza wanaotongozeka na yeye! Wanawake wako wa aina nyingi na mahitaji yao yanatofautiana kutokana na Malezi, Mila, Utamaduni, Akili, Uwezo, nchi walizotoka, n.k