Kushindwa Kwa Romney: Nini Sababu?

Kushindwa Kwa Romney: Nini Sababu?

Hapo inabidi 'kukomaa' tu na kuwa na msimamo wa kupinga ushoga.
Kiongozi akiyombishwa na maoni ya watu, itafika mahali kila kitu kitakuwa halali.
Yaani maovu mengi yatahalalishwa kama inavyotokea Marekani sasa hivi.
Angalia:-
1. Marekani imehalalisha ushoga
2. Baadhai ya majimbo ya marekani yamehalalisha matumizi ya bangi
3. Baadhai ya majimbo Marekani yamehalalisha utoaji mimba
4.
5.
Nini kitafuata baadaye ????
  • Kuhalalisha wizi,
  • kuhalalisha uzinzi,
  • kuhalalisha ubakaji,
  • kuhalalisha uuaji (hivi utoaji mimba ni uuaji ??)....

huko ndiko mwelekeo , unapoukataa ukweli , tusubiri maangamizo kama yaliyowafika dinosauras
 
Back
Top Bottom