Last I checked Ronald Reagan was a former governor of California and a massively popular two-term president who won two landslide presidential elections and one of which he won 49 out of 50 states!
Katika chaguzi za Marekani kuna two stages; Moja, kupata nomination kwenye chama na pili Kuomba kura kwa wananchi. Romney alitumia muda wake mwingi kupanga mikakati ya kupata nomination kubeba msalaba wa Republican. Hapa ndipo alipojikita zaidi akitegemea vita kubwa zaidi. Na kweli ilimtoa jasho hasa akikumbuka changamoto alizozipata mwaka 2008 kabla ya kujitoa. Ufuasi wake wa Mormon ulikuwa kikwazo hata kwa hardliner republicans.
Baada ya kupata nomination ndipo akaanza kupiga campaign za nchi. Nafikiri yeye na timu yake wamefanya kazi ya ziada kuweza kumshinda Obama ambaye hakuwa na kazi kubwa ya kujiandaa kwenye nomination ya Democrats. Sitashangaa kama 2016 Romney atakuwa Rais wa Marekani.
Huu ni uchambuzi au pumba? Anyway, Romney kashindwa kwa sababu nyingi tu, baadhi zikiwa ni:-
Hayo na mambo mengi ni baadhi tu ya sababu za Romney kuangukia pua licha ya fedha nyingi (zaidi ya $ 1billion) kutumika katika kampeni zake.
- Kutokuwa na msimamo katika masuala muhimu. Ikumbukwe kuwa Romney alikuwa na misimamo tofauti tangu kwenye Republican primaries na baadaye kuibadili baadhi ya misimamo hiyo baada ya kuteuliwa na Chama chake. Hii ilionyesha ni jinsi gani anaweza kubadilikabadilika ili mradi apate kura
- Hakujishughulisha na watu masikini na wenye kipato cha kati. Sera zake za kuwapa punguzo la kodi matajiri eti wawe na uwezo wa kupanua ajira kwa wananchi wenye vipato vya chini na kati zilimponza. Hii Top-down approach ya Romney kwenye ku-solve matatizo mara nyingi haiwi na mafanikio kama ile ya Bottom-up approach ya Obama. Obama alipigania watu wenye vipato vya chini na kati na kuahidi kuwabana matajiri wakubwa ambao kwa kawaida hawahitaji msaada wa unafuu kutoka serikalini
- Ubaguzi. Ikumbukwe kuwa Romney alionyesha ubaguzi wa wazi sana na yeye, Republicans pamoja na timu yake ya kampeni hawakutaka, kujali wala kuheshimu uwepo wa matabaka mbalimbali na mchanganyiko wa watu wa Marekani (American population diversity). Wao waliamini kuwa only The Whites ndio walengwa wa siasa za Marekani na kuwapuuza minorities (ambao sasa sio tena minorities) kama vile Hispanics, African Americans, Latinos, etc. Pia, Romney hakuweza kuwavutia sana wanawake hasa lilipokuja suala la mimba na afya ya uzazi.
- Alichelewa sana au hata kutoifanyia kazi kabisa mikakati yake mizuri kama vile early get-out-to-vote. Wafuasi wengi wa Democrats huhamasishwa kupiga kura mapema na hata Obama mwenyewe safari hii alipiga kura mapema kama njia ya kuhamasisha wafuasi wake. Romney hakuweza sana na hata alipohamasisha haikuwa kwa kiwango kikubwa. Matokeo yake, Republicans wengi walipumbazwa na ile Debate ya kwanza na kuamini kuwa Mitt Romney angeshinda na kusahau kuwa ni kura tu (na sio ukosoaji au uongeaji mzuri wa mgombea) ndizo zinazompa ushindi mgombea.
- Hata wanaomsifu Romney eti angeweza kufufua uchumi wa Marekani kisa tu ni mfanyabiashara maarufu, walishindwa kuonyesha (ku-link) ni namna gani angeweza kufanya hivyo akiwa White House. Kuendesha biashara binafsi ni tofauti na kuendesha nchi! Kwenye midahalo Romney mara kadhaa alimkosoa Obama kwa kuongezeka kwa deni la Taifa na ukosefu wa Ajira. Alipoulizwa ni njia zipi angezitumia ktk kupunguza na hata kuondoa deni hilo hakuwa na specifics. Kuwa bingwa wa kukosoa tu pasipo kutoa njia za kutatua matatizo husika kulimuonyesha Romney kuwa ni mtu wa kuota tu "and hence Romnesia" pasipo kuwa na uhalisia.
Z10, wanabodi wamechangia hoja nyingi za msingi zilizosababisha Romney ashindwe. Naomba kuongezea muonekano wa Obama na mkewe pia ulikuwa na mvuto kwa wapiga kura. Ile familia ina mvuto fulani ambao umeifanya kukubalika na Jamii apart from sera.
Pia mke wa Obama amekuwa kivutio kwa Wanawake na wanaume pia. Nyota zao zinangaa Z10. Pia mchango wa Gaijin pia una maana, usisau TZ wengi walihagua Rais handsome, ukiuliza sera wanakwambia tabasamu lake sio la kawaida nk Wakati wa Mhe. Mkapa ilibidi mwl afanye kazi ya ziada. Nakuwaammbia huyo mzuri mkanywe nae chai.
Mwisho nimependa Mgombea anavyotafuta kura mwenyewe kwa asilimia kubwa na sio kubebwa na mara ohhh wakongwe, Mara ohhh chama n.k TZ we need a president who can stand alone, kwa muda mrefu tunaona watu wakibebana, inatosha.
Queen Esther
Sababu kubwa ni Independents kumsupport Obama zaidi ya Romney.
Sababu kubwa ni Independents kumsupport Obama zaidi ya Romney.
Also, Obama campaign kama kawaida was full of community organizers ... ambao walitumia mbinu ya ku-mobilize Hippies kwenye toss up states kama za wisconsin capitalizing on Scott Walker's anti union stance....
Colorado ....weed.
Minnnesota gay rights. They almost got rid of Michelle Bachmann.
Pennyslvania na Ohio were easily won through their increased urbanization and improved middle class suburbs pamoja na immigrants wakatumia Auto bail out na voter supression bills as a platform.
Kwa hiyo generally, repubs and dems are fifty fifty, but if you capitalize on some issues that are at state level you are likely to get the toss up states., Thats what the Obama camp did..
Hivi kwa kuangalia kura za watu (forget the electoral college for a minute) ni kweli unaweza kusema sera za republicans hazina mashabiki sana Marekani?
Sababu kubwa ni Independents kumsupport Obama zaidi ya Romney.
Pili, like Palin, Paul Ryan was a polarizing figure.Behind a moderate (flip flopper) Republican, just as Mcain was a moderate.
Tatu, the best campaign team ever assembled ... Dave Axleroid ameorganize strategy nzuri sana kwa kupigania suburban middle class voters. Hasa suburbs za swing states campaign ya Obama ilikuwea intense.Na alicapitalize on women too!! especially kwenye contraception ambayo ilikuwa a big mistake for republicans.Instead of insisting on abortion issue wakaenda far to contraception .... that wasn't smart na Obama camp wakaitumia.
Kwa mfano, Obama amecapitalize softer stance ya Raul Castro na kurahisisha utumaji hela, cell, phones na laptops Cuba. Pia uwezekano wa kusafiri kwenda kuona families Cuba ... hii imedilute ukali wa Miami cubanos (ukizingatia baadhi ya hawa immigrants wana allegiance to kennedies/dems based on bay of the pigs na pia watoto wao kukua na kuchukua a more liberal stance) Hii imemfanya angalau aweze kuchukua Florida.
Also, Obama campaign kama kawaida was full of community organizers ... ambao walitumia mbinu ya ku-mobilize Hippies kwenye toss up states kama za wisconsin capitalizing on Scott Walker's anti union stance....
Colorado ....weed.
Minnnesota gay rights. They almost got rid of Michelle Bachmann.
Pennyslvania na Ohio were easily won through their increased urbanization and improved middle class suburbs pamoja na immigrants wakatumia Auto bail out na voter supression bills as a platform.
Kwa hiyo generally, repubs and dems are fifty fifty, but if you capitalize on some issues that are at state level you are likely to get the toss up states., Thats what the Obama camp did..
Mbona sielewi ulichoandika? Lugha za watu hizi jamani...
pompo umeona matokeo ya uchaguzi usa?ha ha ha ha jamaa dhaifu kama jk? Kumbe wadhaifu kibao duh?
kmdh umeshakamata network sasa matokeo umeona ukiona watu hawachangii ujue ni kama dume la nyuki kumpanda malkia
pompo umeona matokeo ya uchaguzi usa?
usio sawa wangu ukizidi nitamuona daktari ila naomba usini cheke au kudhiaki ugonjwa wangu, ujafa haujaumbikawe uko sawa kichwani ..mbona hueleweki