TUNTEMEKE,
Huwa napingana sana na wewe ka hoja za kuhit persola zaidi lakini kwa hili nasema nipo pamoja na wewe hizi Organsations za CHASO zipo hoi sana kwnye vyuo ni kama vile hawan miongiozo zinajiendesha kwa uatashi watu binafsi ni vema kukawa na mapango endelevu wa kuzitambua na kuziwezesha kimikakati ili ziwe chanzo cha viongozi hodari hapo baadaye.
Hili la kuwanyima MIC naweza kulisema ni jambo la kujipanaga kama vinajan wanalao jambo ambalo wanataka kuliongea sidhani kama HENCHE anaweza kuwazuia na hata kama akiwazuia wanaweza kupeleka malalamiko yao mahali panapo husika.
Mwisho TUMTEMEKE jaribu kwa ukaribu wako wa chama kuwasaidia hao wanaonyimwa fursa jinsi ya kuadress changamoto zao mbele ya viongozi wetu tuliowachangua kuliko kujakilalamika hapa as if wewe si miongoni mwa wanachadema, Naamini kama utakuwa na ujasiri wa kuongea na viongozi wako face bt face matokeo ya lalama zako hapa zitapatiwa ufumbuzi.
hutaki mambo ya chadema yawe wazi?ndo demokrasia hiyo bwana
Wakuu leo nakuja na mtazamo tofauti juu ya uwezo mdogo unaoonyeshwa na bwana Heche katika kusukuma mbele ajenda za chama na kuimarisha chama kupitia chombo hiki maalumu cha vijana ndani ya chama
Kwa mtazamo wangu Mh. Heche ameshindwa kuwa na ushawishi hasa zaidi kutumia na kuunganisha vijana wengi ambao wameonyesha matumaini na chama hasa wale walioko kwenye taasisi za vyuo na mashule.
Mh Heche amekuwa mtu wa kukaa ofisini tu na kutoa matamko mengi hasa yakiwa ya kwake binasfi na sio maoni ya vijana.
Mh Heche akili yake yote ipo kwenye kupambana na Mwita Mwikabe kwenye ubunge jimbo la Tarime na sio kusimamia baraza la vijana
Mh Heche kama kiongozi wa vijana asipo badilika na kutumika kwa maslahi ya chama na sio yake binafsi tutarajie BAVICHA dhaifu hasa katika kupambana na nguvu mpya ya CCM.
Nawasilisha
nadhani hasira imekwisha baada ya kuwa umeandika hayo. sasa nakuomba ili umkomeshe huyo mleta thred ujinga wake ainisha strength za heche mpaka sasa katika position hiyo na siyo na wewe kuonyesha ujinga uleule. nadhani utakuwa umemziba mdomo la sivyo tutaona wote ni walewale.Mkuu tafuta kazi ya kufanya.Huu ujinga wa kuwa na ID feki zaidi ya kumi hautakusaidia wewe wala hilo kundi lako la kitapeli.
Mnachokijua ni kukimbilia Facebook kila siku na kuwatukana matusi ya nguoni viongozi wakuu wa CDM.Adui yenu mnayemjua ni Mbowe,Dr Slaa na Heche.Mbinu zenu kamwe hazitafanikiwa.
Umeona yale majungu uliyoleta dhidi ya Mbowe hapa jamvini umepuuzwa leo ukaibuka na majungu dhidi ya Heche na kesho utamuibukia Dr Slaa.Pole sana.
nadhani hasira imekwisha baada ya kuwa umeandika hayo. sasa nakuomba ili umkomeshe huyo mleta thred ujinga wake ainisha strength za heche mpaka sasa katika position hiyo na siyo na wewe kuonyesha ujinga uleule. nadhani utakuwa umemziba mdomo la sivyo tutaona wote ni walewale.
Huwa namwona TUNTEMEKA kama mtu anayeweza hata kumuuza mkewe kwa kumtetea zitto na kuichafua CDM..kaja na ID nnyingine.
tuntemeke huna jipya kuhusu heche.
Tangu nimeanza kusoma thread zako zinazozungumzia bavicha ama kumtaja heche mwenyewe muda wote umejitahidi kuonyesha kwamba heche hajafanya kitu wala si msaada wowote kwa chama. Nataka nikuthibitishie kwamba miongoni mwa vijana wenye uwezo mkubwa sana wa kuzungumza na audience basi heche ni mmoja wao ndani ya chadema na hata nje ya chadema.
Mara kadhaa nimewahi kuwa nae katika jukwaa moja katika mikutano ,mbalimbali ya wazi(hadhara) na mikutano ya ndani. Usijaribu kudanganya watu heche ni namba nyingine kabisa, hata kama sikufahamu lakini kwakuwa unajiita kijana wa chadema sina sababu ya kutoamini kwamba huwezi kujilinganisha na heche, amekuacha mbali sana kisiasa, ni vizuri kuukubali huo ukweli ili ujipange na kutafuta namna ya kufikia ngazi ya juu ya uongozi kuliko kutumia style ya majungu na uzushi.
Kwa mfano hilo la kutumia jina la kaka yake ni uzushi mwingine uliamua kuja nao, nadhani jk aliwalenga watu kama wewe, nawe una kiwanda cha uongo, unaachia mmoja baada ya mwingine kadri unavyojisikia. Kama kitu hukijui ni muhimu kuuliza ili uelezwe kuliko kujidhalilisha kwa maneno ya kutunga. Kama kweli una uhakika kwamba yeye si john bali kaka yake ndiye john, basi ungetueleza yeye jina lake ni nani na huyo kaka yake yuko wapi na anafanya nini.
John heche suguta aligombea udiwani kata ya tarime mjini katika uchaguzi mdogo wa mwaka 2008 na kumshinda vibaya mjomba wangu peter zakaria wa ccm, wakati huo akisoma saint augustine university(saut) mwanza, tena akiwa darasa moja na mpwa wangu halafu leo kiwanda cha uongo cha tuntemeke kinafyatua uongo hapa eti anatumia jina la kaka yake na kwamba hajawahi kukanyaga chuo kikuu? Hii comment yako imeonyesha kiwango chako cha juu cha uongo, uzushi, husda na wivu.
John Heche -------Wegesa CHARLES
Vipi upo na Mwasiti hapo?Wegesa charles
Wegesa charles
....Ieleweke wazi hawa kina shonza wamezalishwa na system ndan ya chama.. ....