Mipango yangu yoote imevurugika, na hii ni baada ya kushindwa kupata usafiri wa kutoka huku serikal ya mapinduz kuja dar. Nilipofika bandarini saa8, nikaambiwa hakuna boti, hapa nasinzia nimejichokea kwa trip za kijich bandarini, bandarini kijichi, aaaaghhhhhhh