Kusherehekea Uhuru wa nchi ambayo haipo ni kitu kisichoeleweka

Kwenye hotuba zao nasikia wakitaja eti uhuru wa Tanzania bara .
babu yetu nyerere alidhamiria kuipoteza Tanganyika akaleta Tanzania bara na Tanzania visiwani..aliichukia sana Tanganyika..sijui kwa nini..!?. kwa hyo ni utaratibu wa serikali Tanganyika kuiita Tanzania bara..kidogo jakaya ndo alipenda kuitaja tanganyika
 
Aliua Tanganyika tu, Zanzibar bado ipo .
 
Hii ni nchi ya maajabu maana hata ukiwasikiliza kwenye hotuba zao wanaongelea mipango ya Tanzania wakati ni maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika. Wanasherekea sikukuu ya hayati Tanganyika bila aibu.
 
Uzoefu unaonesha nchi mbalimbali zilizoungana hazikufuta zile nchi Au majimbo asili mfano Scotish, Wales, England bado zipo!
Kwa hiyo inamana Kwenye somo la historia wanafunzi wanafundishwa Uhuru wa Tanzania Bara Au Tanganyika ?
Sijui kuna tatizo gani
 
Nimetafakari sana kuhusiana na sherehe za kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika zinazofanyika tarehe 9 Dec ya kila mwaka sijaelewa maana yake , maana sherehe hizi zinaipaisha nchi ambayo haipo Tanganyika na kuizamisha nchi halisi ya Tanzania ambayo ipo na ambayo siku yake ya kuzaliwa ipo pia .

Unawezaje kusherehekea Birthday ya aliyekufa ama kuuawa ?

Bado sijaelewa .
Nchi ni jina au ni interior of the geographical boundary of the republic/sate (land with its continental shelf) together with flora, fauna, economic functions, political administration and space within it? Names always change, dude, did you know it?
 
Kwani Tanganyika ndio Tanzania ?
 
Tanganyika ipo, maadam Zanzibar pia ipo. Muungano wa, nchi hizo mbili ndo tunapata Tanzania
 
Nimetafakari sana kuhusiana na sherehe za kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika zinazofanyika tarehe 9 Dec ya kila mwaka sijaelewa maana yake , maana sherehe hizi zinaipaisha nchi ambayo haipo Tanganyika na kuizamisha nchi halisi ya Tanzania ambayo ipo na ambayo siku yake ya kuzaliwa ipo pia .

Unawezaje kusherehekea Birthday ya aliyekufa ama kuuawa ?

Bado sijaelewa .
Aisee umewaza vizuri sana...
 
Wewe ulishasema hutasheherekea hii sikukuuu imekuwaje mwaka huu ?

Unawashwa ??
 
Binafsi, ndo maana sihangaiki na hii sikukuu na nilitamani maadhimisho yafutwe pesa itumike kwa namna nyingine nzuri zaidi kama ulivyokuwa mwaka juzi!
 
Back
Top Bottom