Kushangilia kwenye sinema

Kushangilia kwenye sinema

Elfu 6 zidisha kwa familia nzima plus nauli ya familia nzima kwenda na kurudi kutoka Mbagala Charambe!?
Hio gharama usipoitumia kwa familia yako , ukijibana itakununulia nini zaidi ya unga wa ugali, na kama ni hivyo basi, umewaleta hao viumbe duniani waje kuteseka ?

Huoni hata na wao wakikua wata rudi kwenye mzunguko huo huo wa kimasikinini
 
Umewahi kusaidia masikini?
Sisaidii masikini moja kwa moja
Ninatoa fungu langu la mshahara kila mwezi kuchangia mashirika kama WorldVision
 
Hio gharama usipoitumia kwa familia yako , ukijibana itakununulia nini zaidi ya unga wa ugali, na kama ni hivyo basi, umewaleta hao viumbe duniani waje kuteseka ?

Huoni hata na wao wakikua wata rudi kwenye mzunguko huo huo wa kimasikinini
Kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake kijana.
Wewe ni mtoto wa kishua, lakini bado kuna wa kishua+ ambao wanakuona wewe mpori pori tu.
 
Sisaidii masikini moja kwa moja
Ninatoa fungu langu la mshahara kila mwezi kuchangia mashirika kama WorldVision
Oooh!
Kwahiyo baada ya kuona huu uzi
Usisaidie masikini, acha wafe

Unaacha kuchangia fungu lako la mshahara kwenda World Vision kusaidia masikini?
 
Kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake kijana.
Wewe ni mtoto wa kishua, lakini bado kuna wa kishua+ ambao wanakuona wewe mpori pori tu.
Wawepo wa kishua zaidi yangu au mimi kuwa mporipori haibadilishi kuwa unapoamua kuleta viumbe duniani unatakiwa ujipange sio kuja kujaza vibaka na watoto wa mtaani
 
Wawepo wa kishua zaidi yangu au mimi kuwa mporipori haibadilishi kuwa unapoamua kuleta viumbe duniani unatakiwa ujipange sio kuja kujaza vibaka na watoto wa mtaani
Ooooh!
Kabla hatujaleta viumbe duniani tunatakiwa tujipange kuwapeleka kwenye masinema?
 
acha kutamani watotoo choko ww...na story zako chai za world vision!
Umeshidwa kuleta hizo content punga wewe
Unawaza kutifuliwa mavi tu ndio akili yako

Masikini kila asichokiweza anaona kila mtu ni masikini mwenzake, mambo ya worldvision hayakuhusu, wewe pambana leo ule milo mitatu, hio ndio challlenge yako kwa leo, na unaweza kuitoa hio tigo kukamilisha milo
 
Ooooh!
Kabla hatujaleta viumbe duniani tunatakiwa tujipange kuwapeleka kwenye masinema?
Ndio, burudani kwa familia yako ni kitu muhimu sana
Kama mzazi hawezi kuifurahisha familia yake, basi huyo ni katili na mzazi pumbavu hakutakiwa kuleta viumbe kwenye hii dunia kuja kuishi maisha yake ya kimasikini
 
Ndio , mchango wangu unaeenda asilimia kubwa vijijini kujenga visima na kutoa matibabu, sio kwa masikini wadangaji wa mjini tunaobishana nao humu mitandaoni
Aaaaah!
Kwahiyo masikini wa vijijini hawatakiwi kujipanga, wanastahili kusaidiwa?
Masikini wa mjini ndio unaowapiga vita wewe?
Masikini wa vijijini ndio unawahusudu na unapenda kuwasaidia?
 
Ndio, burudani kwa familia yako ni kitu muhimu sana
Kama mzazi hawezi kuifurahisha familia yake, basi huyo ni katili na mzazi pumbavu hakutakiwa kuleta viumbe kwenye hii dunia kuja kuishi maisha yake ya kimasikini
Kwahiyo unasema kuifurahisha familia ni kuipeleka sinema tu?
 
Aaaaah!
Kwahiyo masikini wa vijijini hawatakiwi kujipanga, wanastahili kusaidiwa?
Masikini wa mjini ndio unaowapiga vita wewe?
Masikini wa vijijini ndio unawahusudu na unapenda kuwasaidia?
Nimezunguka sana hii nchi hasa vijijini
Sijawahi hata siku moja kuombwa hela huko vijijini,

Na nilishawahi kupata shida ya gari kuchemsha, nikaenda kuomba maji, walimtuma kijana wao aende kuchota maji umbali kidogo, na kuleta maji, na ndio kwanza walilazimisha tukae tule kabla sijaondoka, na nikawapa hela lakini hakuwa na mzuka nayo kabisa waliniomba kama nina madumu ya ziada, nikawapa moja, na kipande cha turubali, walifurahi sana na kuongelea jinsi turubali itakavyowasaidia kuanikia mazao.

Watu wa vijijini sio masikini, ni miundo mbinu ndio changamoto kama visima na mashule na hospitali ndio wanavyohitaji, hawana mzuka na hela kabisa na huko ndio nimeona huo mchango wangu hata kama ni kidogo lakini unaleta mabadiliko chanya

Sio hawa waliojaa humu mijini na mitandaoni wakipata simu janja kutwa kucha ni kuombaomba hela tu.....
 
Watu wa vijijini sio masikini, ni miundo mbinu ndio changamoto kama visima na mashule na hospitali ndio wanavyohitaji, hawana mzuka na hela kabisa
Kwani masikini ni mtu wa namna gani mtoto wa kishua?
Unadhani hao watu wavijijini wanapenda kukosa miundo mbinu kama visima vya maji, mashule na hospitali?
Unasema hawana mzuka na hela, sasa wanawezaje kufurahisha familia zao kama hawana mzuka na hela kabisa?
 
Mkuu ni kweli imejaa ushoga? Huyu jamaa kama ni kweli ametumwa kutangaza huyu ...unashangiliaji ushoga ukiwamo ndani yake?
Huyo unaemwita mkuu, ni mkuu wa machoko,
mwambie alete huo ushoga ulikuwa kwenye hio movie
Masikini huwa anawaza matako yake, aidha atifuliwe mtaro, au apate mlo angalau mmoja kwa siku ili aende choo akanye apate ile feelings ya kutifuliwa, ndio mnaana wanawaza ushoga ushoga muda wote
 
Baba pumbavu hili unapeleka watoto kuangalia movie zilizojaa content LS za ushoga na usagaji halafu unakuja kujitangaza
Unawaza ushoga tu
Asifiye mvua, imenyea, labda ulipitiwa au ndio mchezo wako kutifiliwa mtaro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom