Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,324
- 6,140
Labda mzungumzie vita ya IsraelKiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Gesi kuisha ndo jambo pekee linaloendelea kweny maisha yako?Wanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
Ndo msemo wao pendwa"NIAMBIE "
Hivyo vistory vitaje sasa 😹😹Gesi kuisha ndo jambo pekee linaloendelea kweny maisha yako?
Hapana sio kweli, hata kama ni kweli bac angalau kuna vi-story flani ambavyo wanaume tunapenda kusikia, hata hivyo mnashindwa?
😅😅😅aisee wanaume tuna shida, yaan cha kukwambia mm nifikirie, na cha wewe kuniambia mm, nacho pia inabidi nikwambie mm, sasa wewe unachangia nn kweny mazungumzo, eti?Hivyo vistory vitaje sasa 😹😹
What is this??
Miaka miwili bado hajanizoea, sio kweli, hawana contentTatizo lako wewe ni mkimya kama mimi hapa, kuongea mpaka ujipange (utafakari)!
Hii inaboa sana unapokuwa na mwanamke ambae hamjazoeana, mwanamke kama hajakuzoea anajifanya mkimya wewe ndo uongoze mazungumzo