Kusema "No election" ni kuichezea masharubu serikali

Acha kuchagua chagua maneno ambayo unaona yanafaa kulingana na mtazamo wako, CHADEMA wameweka conditional sentence Kwamba "If no reform, no election" hakuna aliyesema uchaguzi usiwepo ila huo uchaguzi lazima kuwe na mabadiliko ya sheria za uchaguzi ikiwemo kuunda tume huru, tofauti na iliyopo sasa, kwanza imeteuliwa na raisi ambaye naye ni mnufaika wa uchaguzi, wakurugenzi ndio wanaohusika kutangaza matokeo kwenye majimbo ikiwa ni wateule wa Raisi, hapo kuna uchaguzi gani
Ameruka No reform, akaja na Election, yale yale ya Amani amani bila kutaja Haki.
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Serikali ni nani ?

who's government?

Sema nini mazoea Yana tabu sana..
 
Machawa sasa yamekuja na mbinu mpya ya kutisha Wapigakura wanaodai HAKI zao za kuchagua Viongozi wanaowataka,hiyo ni baada ya kutisha Wananchi kuwa CHADEMA kinasambaza virusi vya EBOLA na M.Pox.

Lissu shikilia hapo hapo.
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Umesikiliza ufafanuzi wa mantiki ya kauli mbiu hiyo iliyotolewa kwa ufafanuzi na Tundu?

Kama umemsikiliza na haukumuelewa, kama ulimsikia Jaji Warioba, kama ulimskia, Askofu Bagonza, kama ulimsikia arch Bishop Ruaichi, kama ulimsikia shehe Ponda nk kuhusu ufafanuzi wa kauli mbiu hiyo na bado haukuelewa lolote, basi wewe si mjinga bali ni mpumbaf.
 
Ili tusiichezee gavoo sharubu ni bora kutukucheze wewe malaco
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Leo umeongea la maana sana!.
Big Up sana for this!.
P
 
Acha uoga mtoto wa kiume weye! Hata kama jando walifuta, maisha yanakufunza ukue, acha upremature. Akina Nyerere wangekua namna hii nchi hii ingekua bado utumwani
 
Back
Top Bottom