Kusema "No election" ni kuichezea masharubu serikali

CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Basi utahisi umeandika cha maana
 
There is nothing they can do!, take it from me!, There is no way anyone can stop the election!.
P

..Lissu amerejea busara za mwanasiasa maarufu aliyesema, " to jaw-jaw is always better than to war-war."

..CCM wafuate ushauri wa Alhaj Mruma, Sheikh Ponda, Askofu Bagonza, kufanyia marekebisho sheria za uchaguzi.
 
There is nothing they can do!, take it from me!, There is no way anyone can stop the election!.
P

Learned brother sometimes unajisahau sana na kudhalilisha experience yako, hakuna kitu kinaitwa "absolute no way" katika maisha, hivi viburi vya kuamini kuna kuna binadamu anaweza kuzuia nature ("Mungu" kwa waamini) kufanya kinachopaswa kufanyika. Anything can happen in a glimpse of an eye at anytime katika maisha ya binadamu.

Kuna watu waliamini jiwe kwa kuwa ni rais na anapiga push-ups na kuongea kwa vitisho na jazba basi yeye ataishi maisha mengi sana, lakini ilikuja surprise ambayo mpaka leo kuna watu wanaamini hakufa! So hivi viapo havina nafasi kwenye maisha! Unaposema nothing they can do (wewe kama nani) na unamaanisha nani? Lissu, chadema, ccm, rais, au Mungu? "Change is inevitable" when its time brother.
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.
Sijui elimu yako imekusaidia nini
 
Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi
Nilipoisoma hii sentensi hii tu nikajua mleta mada ana ulemavu wa akili.

Halafu hata hajui maana na kazi ya katiba
 
ni muhimu sana kua makini na huyo kibaka na tapeli wa kisiasa nchini,

anahamasisha hivyo huku yeye akiwa na tiketi ya ndege ✈️ mfukoni, sijui wewe my friend, ladies and gentlemen, unayo tiketi ya ndege?

huyo yahaya haijulikani hata anaishi wapi, Tz au Belgium?🐒
Kuna Kibaka na tapeli wa siasa kuliko mama yenu anatuma wahuni wenzake kuteka watu na kuwaua na kuwapoteza? We mngese kweli ww
 
sasa gentleman,
leo mtu anahamasisha no reform no elections, halafu kesho anatangaza nia ya kugombea urais,

huyo si anaweza kua tapeli wa kisiasa mwenye mental disorder gentleman?🐒
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.

After thought.

Nadhani hapa mimi nimetaka kuleta drama.
I think error has crept into my writing kwa ajili ya drama in my personal life.
Chadema wana haki ya kudai reforms. Maboksi yaliyojaa kura feki,kwa nini mambo kama hayo yasiwe questioned?
Hijtambui hata kidogo. Mamlaka ya serikali yapo kwa wananchi. Serikali ni chombo kilichoundwa kwa maslahi ya wananchi. Wananchi wanataka no reforms no Election. Mjinga kama wewe tutakusaidia
 
ni muhimu sana kua makini na huyo kibaka na tapeli wa kisiasa nchini,

anahamasisha hivyo huku yeye akiwa na tiketi ya ndege ✈️ mfukoni, sijui wewe my friend, ladies and gentlemen, unayo tiketi ya ndege?

huyo yahaya haijulikani hata anaishi wapi, Tz au Belgium?🐒
Jibu hoja za Lisu na chama chake.
Kila mwenye akili timamu anajua mfumo wa uchaguzi umejaa uhuni mwingi, viongozi waliopo wote wanepatikana kwa uhuni wa tume ikisaidiwa na dola.
 
ni muhimu sana kua makini na huyo kibaka na tapeli wa kisiasa nchini,

anahamasisha hivyo huku yeye akiwa na tiketi ya ndege ✈️ mfukoni, sijui wewe my friend, ladies and gentlemen, unayo tiketi ya ndege?

huyo yahaya haijulikani hata anaishi wapi, Tz au Belgium?🐒
Hizo ngonjera zilisha pitwa na wakati waacheni wananchi wawe huru kupata wanacho kitaka mbona vitisho vimekuwa vingi kuliko kushughulika na hoja ya msingi? Ukiona wananchi wamehamasika maana yake wameelewa kilicho hamasishwa kama ninyi mnavyo hamasisha yenu na wana waelewa acheni kutushia wananchi
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.

After thought.

Nadhani hapa mimi nimetaka kuleta drama.
I think error has crept into my writing kwa ajili ya drama in my personal life.
Chadema wana haki ya kudai reforms. Maboksi yaliyojaa kura feki,kwa nini mambo kama hayo yasiwe questioned?
Umeandika nini ,No Election ndo nini?

Sema no reforms no elections then eleza viliovyenu utajibiwa.

Serikali ni nini maana yake , ukijua hili basi utajua wanao ichezea Serikali na kustress nchi ni Ccm kwa kukataa reforms ,

Tufanye reforms twende kwenye uchaguzi wa huru na haki
 
Nakukunukuu "Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali."
Sasa hiyo reform si ndio inasisitiza mifumo ya kufikia hapo? Kama hatuwezi kuchagua kihalali, uchaguzi wa maigizo wa nini?
 
There is nothing they can do!, take it from me!, There is no way anyone can stop the election!.
P
Kaka Pascal Mayalla habari yako?
Kwanza nitangulize kusema kuwa wewe ni moja ya member waliojijengea heshima kubwa humu na legacy yako ni yakipekee, hongera sana.
Lakini kwa taaluma yako tulitarajia uwe unachukua mawazo chanya humu nakuyaandika ili kusema kwa Sauti zaidi kwa mustakabali wa nchi yetu, lakini kwa mustakabali wa tumbo lako unaamua kuwa chawa mtiifu kana kwamba huelewi nini kinaendelea.
Chadema pamoja na wananchi HAWAJAKATAA UCHAGUZI, tunasema " NO REFORM, NO ELECTION ". Sisi wananchi kama serikali tunawatuma wanasiasa kufanya marekebisho ya katiba ya uchaguzi kwenye vipengele ambavyo havipo sawa, baada ya hapo tufanye uchaguzi ulio huru na haki. Yani hapo ni sawa na boss wako akutume ufanye jambo kwa maslahi ya kampuni lakini wewe hutaki kwa maslahi yako binafsi.

Tanzania ni kubwa kuliko chadema na ccm, Tanzania itaendelea kuwepo bila chadema na ccm. Tumia peni yako kuondoa hii dhuluma.
 
CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.

After thought.

Nadhani hapa mimi nimetaka kuleta drama.
I think error has crept into my writing kwa ajili ya drama in my personal life.
Chadema wana haki ya kudai reforms. Maboksi yaliyojaa kura feki,kwa nini mambo kama hayo yasiwe questioned?

Huna hoja jamaa, tushiriki UCHAFUZI kwa tume hii ya RAIS ili iweje?
Rais.jpg
 
NO REFOERM NO ELECTION INAZIDI KUONYESHA KWAMBA IDADI YA VIPOFU KATIKA SIASA NI KUBWA KULIKO TULIVYOKUA TUNAJUA HAPO AWALI, YAANI MTU BILA HATA KUJENGA HOJA LINABWATUKA TU. HIVI KWA AKILI TU YA KIBINADAMU ULE UMATI UNAOKWENDA KUMSIKILIZA LISSU UNADHANI NI VICHAA, LKN YOTE HII NI UNAFIKI ULIOKUBUHU UNAOPELEKEA WATU KUWA VIPOFU. KAMA HUNA HOJA KAA KIMYA, SASA HIVI WILAYA ZOTE NA HALMASHAURI ZIMEJAA, SUBILINI HADI UCHAGUZI UPITE
 
Siasa za udalali za kusukumiza wapiga kura machinjioni zimefika mw

CHADEMA wanasema " no election" na wanasikilizwa na watu wengi na hii inaleta taharuki,kwa sababu hawa wana haki gani ya kuhamasisha wananchi wasipige kura. Saa ya Uchaguzi imefika, Uchaguzi unafanyika kufuatana na Katiba,kwa hiyo mtu akisema" no election" haitakii mema hii nchi.

Hii ni nchi ya Demokrasia, viongozi wa nchi hii lazima wachaguliwe kihalali.

Already yupo Rais Ikulu ambaye uongozi wake haujathibiitishwa na wananchi,and yet watu wengine wanataka aongezewe eti " muda wa mpito".

Sasa Chadema wanakosa political maturity.

Mtu aisema " no election" itatuea itatutokea puani". Huyo mtu ametoa hoja ya kujadiliwa.

Lakini kwa CHADEMA huo ni mwanzo na mwisho wa majadiliano,na yule amekuwa suspended au amefukuzwa.
Na yule mtu alipaswa kuwa less confrontational alipokuwa anatoa hoja.

Matatizo yanatokea CHADEMA kila inapoanza kupata mafanikio.

Wanaanza kugombana,wanaanza kufukuzana uanachama,ili watu wachache tu wapate faida ya Yale mafanikio.

We have seen this throughout all their history. CHADEMA wakianza kupata mafanikio wanagombana.

Ugomvi unatokea CHADEMA kwa sababu ya sera ambazo zinaweza kuleta political backlash, political crackdown.

Halafu yule Julius Chacha ameuliza kuhusu wale viongozi wa Dini ambao wanaitwa spiritual mentors wa Chadema. Anauliza vinayumika vigezo gani kuwapata.?

Sasa,Tundu Lissu alikuwa anasema siku moja, alipokuwa anahojiwa na waandishi wa habari kwamba,"Nchi yetu inapitia kipindi kigumu."
I agree with that.
Kwa sababu Nature is very strong.
Na katika Nature tunaona mkubwa amuonea mdogo( bullying)
Ndio inayotokea kwa CCM na Chadema.

After thought.

Nadhani hapa mimi nimetaka kuleta drama.
I think error has crept into my writing kwa ajili ya drama in my personal life.
Chadema wana haki ya kudai reforms. Maboksi yaliyojaa kura feki,kwa nini mambo kama hayo yasiwe questioned?
Ukijua hiyo serikali ipo hapo kwa ajili ya nani ,wala huwezi kupoteza muda kupost upuuzi wako hapa, msijisahau kwamba serikali ipo kwa ajili ya wananchi naona mnajisahau baada ya kuona maviete yanawapuga viyoyozi hadi mnadhani mpo hapo kwa ajili yenu wenyewe
 
sasa gentleman,
leo mtu anahamasisha no reform no elections, halafu kesho anatangaza nia ya kugombea urais,

huyo si anaweza kua tapeli wa kisiasa mwenye mental disorder gentleman?🐒
Hawezi kuwa tapeli kaka Tlaatlaa maana atakuwa anajitapeli mwenyewe kitu ambacho hawezi dhamiria. Tapeli ni huyu anaye tumia mabilioni ya Kodi ambazo zingetumika kuboresha maisha ya watu yeye anapeleka kwenye uchaguzi wa hovyo ambao tayari genge lake analoliita tume na jumuiya ya chama anayoiita polisi wanaiba haki za wananchi na kumpa Ushindi! Huyu ni tapeli sio duniani tu hata akhera ana hadhi hiyo hiyo kaka
 
Back
Top Bottom