Kusema kweli mimi ni mjinga Sana

Kusema kweli mimi ni mjinga Sana

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Tabia yangu hii ya kuwa natamani kila mwanamke mrembo, naichukulia kama ujinga wa hali ya juu nilionao,yaani huwa sipitwi, akionekana binti yeyote mrembo hasa aliyejazia makalio vyema, mrembo wa sura, walahi tena mwili huwa unanisisimka mie, hadi mate hunitoka kwa udenda.

Huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa nilionao, sijui nitaacha lini ujinga huu, hili ni pepo la ngono ninalo kwa kweli, wakuu naomba sana jamani kila mmoja kwa sala na imani yake aniombee, hata mie sipendi kuwa hivi, nimejitahidi sana kuacha nimeshindwa, pombe mie na wanawake, halafu MUNGU amekuwa akiniepusha na majanga sana kama UKIMWI.

Nimepima sana afya yangu, nikajikuta niko ok, hata jana pia nimepima niko fresh, MUNGU ananilinda kwa kusudi maalumu si bure, ila kwa ujinga wangu nashindwa kutambua ukweli, laiti ningelikuwa nimetulia kitabia ningelikuwa mmoja wa vijana matajiri wakubwa katika nchi hii kwa mapesa niliyowahi kuyashika, ila dhambi ndo imenipa umaskini huu kwa ujinga wangu, MUNGU NIREHEMU NIWEZE KUKURUDIA MUUMBA WANGU,NAKUPENDA MUNGU WANGU.
 
Wenzako tunalilia kuwa huko wewe watakakuja sugua bench huku,utaweza kula kwa macho?
mkuu ebu nipe mbinu kwanza, unawataje hao?
Kama Mungu yupo tu,atakiwa hoi juu ya kitanda ukitubu anasamehe..
 
...yaa tena ni mpu..mb.avu kabisa hata post yako inaonyesha, id..iot...!
 
we co mjinga banaa semaa ndo kipaji chako ichooo au umejiendekezaa kupenda chin sana
 
Ficha ujinga wako kwa sababu umeshachafua jamvi
 
Unajiita wiseboy ila umejiona ulivyo mjinga???? Hivi hizi tabia nazo kuendekeza ni sifa?
 
Kuna msemo unaosema ukiona mwanamme anapenda sana wanawake basi ujue utotoni walishamgeuza au uko mbele anaweza kuwa shoga ni hayo tu Wiseboy.
 
bora umejitambua mwenyew.
Hata thread zako n za kijinga kama ulivyo ww
 
Mfyuuu..... hupishan na x wang .... tn umenikumbusha machunguu..... nenda huko ..... we dini gn kwn
 
Pombe ni mama wa maasi,acha kwanza pombe,huo ndo mtihani wa kwanza,hilo la wanawake ni rahisi zaidi maana utakuwa na uwezo wakufikiri vizuri kabla hujaamua kufanya jambo lolote..ACHA POMBE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom