MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
sio wewe tu, wanaume wengi wako hivyo
sio wewe tu, wanaume wengi wako hivyo
Kuna msemo unaosema ukiona mwanamme anapenda sana wanawake basi ujue utotoni walishamgeuza au uko mbele anaweza kuwa shoga ni hayo tu Wiseboy.
mmmh sio kweli, ila inawezekana ana hormone nyingi za kuongeza nyege, ndo maana tamaa inamzidi uwezo
kujistukia ni mwanzo wa ukomboziTabia yangu hii ya kuwa natamani kila mwanamke mrembo, naichukulia kama ujinga wa hali ya juu nilionao,yaani huwa sipitwi, akionekana binti yeyote mrembo hasa aliyejazia makalio vyema, mrembo wa sura, walahi tena mwili huwa unanisisimka mie, hadi mate hunitoka kwa udenda.
Huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa nilionao, sijui nitaacha lini ujinga huu, hili ni pepo la ngono ninalo kwa kweli, wakuu naomba sana jamani kila mmoja kwa sala na imani yake aniombee, hata mie sipendi kuwa hivi, nimejitahidi sana kuacha nimeshindwa, pombe mie na wanawake, halafu MUNGU amekuwa akiniepusha na majanga sana kama UKIMWI.
Nimepima sana afya yangu, nikajikuta niko ok, hata jana pia nimepima niko fresh, MUNGU ananilinda kwa kusudi maalumu si bure, ila kwa ujinga wangu nashindwa kutambua ukweli, laiti ningelikuwa nimetulia kitabia ningelikuwa mmoja wa vijana matajiri wakubwa katika nchi hii kwa mapesa niliyowahi kuyashika, ila dhambi ndo imenipa umaskini huu kwa ujinga wangu, MUNGU NIREHEMU NIWEZE KUKURUDIA MUUMBA WANGU,NAKUPENDA MUNGU WANGU.
Tabia yangu hii ya kuwa
natamani kila mwanamke mrembo, naichukulia kama ujinga wa hali ya juu
nilionao,yaani huwa sipitwi, akionekana binti yeyote mrembo hasa
aliyejazia makalio vyema, mrembo wa sura, walahi tena mwili huwa
unanisisimka mie, hadi mate hunitoka kwa udenda.
Huu ni ujinga wa hali ya juu kabisa nilionao, sijui nitaacha lini ujinga
huu, hili ni pepo la ngono ninalo kwa kweli, wakuu naomba sana jamani
kila mmoja kwa sala na imani yake aniombee, hata mie sipendi kuwa hivi,
nimejitahidi sana kuacha nimeshindwa, pombe mie na wanawake, halafu
MUNGU amekuwa akiniepusha na majanga sana kama UKIMWI.
Nimepima sana afya yangu, nikajikuta niko ok, hata jana pia nimepima
niko fresh, MUNGU ananilinda kwa kusudi maalumu si bure, ila kwa ujinga
wangu nashindwa kutambua ukweli, laiti ningelikuwa nimetulia kitabia
ningelikuwa mmoja wa vijana matajiri wakubwa katika nchi hii kwa mapesa
niliyowahi kuyashika, ila dhambi ndo imenipa umaskini huu kwa ujinga
wangu, MUNGU NIREHEMU NIWEZE KUKURUDIA MUUMBA WANGU,NAKUPENDA MUNGU
WANGU.
Pichaa iyo
Hapa mkuu hata mimi nijumuishwe na wewe kwenye mfungo wa maombi maana lol!