nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya.
mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa.
I'm out
#Kisasi ni haki.
Kisasi ni haki
Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi.
Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na maisha yanayofuata baada ya kifo iwe reincarnation au rebirth nk !msamaha hukufanya uwe mwema mwenye furaha ya kweli usiye na makunyanzi rohoni na usoni.
Mwenye msamaha ana nuru usoni , msamaha ni tiba, msamaha ni mafanikio msamaha ni amani na ni upendo.
Lakini je kama huamini katika msamaha? Kama unayemsamehe...
- Mshana Jr
- Replies: 311
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Una muda wa kutosha?🤔 Yani mtu akutendee umafia halafu useme nimemsamehe huku yeye akiendelea kupeta wewe uko maumivu akilini oya dili nae
Kisa ni haki
Mtu anaye shindwa kusamehe ni mtu dhaifu.nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya.
mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa.
I'm out
#Kisasi ni haki.
Una muda wa kukimbizana na maadui?unamaanisha nini
Itafika muda utaona huu wote ni upuuzi na utafocus na mambo ya muhimu zaidi kuliko kumpa airtime mpumbavu!haijalishi itachukua muda gani lakini lazima adui aonje japo kidogo ladha ya maumivu
Wala hapew airtime ni mtego tu unasetiwa akijaa tu ni milioItafika muda utaona huu wote ni upuuzi na utafocus na mambo ya muhimu zaidi kuliko kumpa airtime mpumbavu!
Letting it go haimaanishi kuwa wewe ni mdhaifu!Wala hapew airtime ni mtego tu unasetiwa akijaa tu ni milio
Usikubali kwa mnyonge dhidi ya mtesi wako Dunia haitaki watu dhaifu
Kisasi ni haki😁
Chukua mfano wa mke na mme wanao vimbiana kwenye ndoa wakaamua kuishi bila kusameheana matokeo yake mmoja wapo atapata pressure.Nakataa
Sio kweli
Mimi mtu akiwa anatumia nguvu nyingi na kuongea sana huwa ananiboaa, na nampuuza vibaya sana! ila nikinyamaziwa uweeh mavi yanagonga kyupi🙆🏽♀️Hapa labda unisaidie kujibu wewe 😁