Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,194
Dozi nmekuja.Mi mzima kbsa jirani.sema nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa kukumiss
Unatakiwa uninywe kutwa mara 24 kwa siku
Dozi nmekuja.Mi mzima kbsa jirani.sema nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa kukumiss
Uko njia panda unafanya nini.Kaniomba msamaha na kamwe hata rudia kasema... Sasa nipo njia panda
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Nitakukunywa mpka uchoke ohoooDozi nmekuja.
Unatakiwa uninywe kutwa mara 24 kwa siku
Asante sana inatosha napiga chini narudisha kwao... Ila ananisave balaa , nguo anafua, chakula anapika, usafi anafanya ... Ila nafanya hivi si km ndio wa maisha nategemea anisave tu ...
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Sitaki urudi hosp. Sipendi uwe huko ujue.Nitakukunywa mpka uchoke ohooo
Jiweke basi kama kimiminika ili nitundikiwe drip jirani
Anajidai haelewi hilo, alafu anauliza nimuache au nimrudishe, wakati jibu analo. Kuna watu kwenye mapenzi wako kama wamerogwa kumbe walaa wanajiroga wenyewe.Ukweli mchungu lakini Demu amemzimikia mshkaji kuliko anacyokuzimikia wewe
Mambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea Arusha nikitokea songea na kumwacha yy baada ya kukaa nae mwezi mmoja, kwa bahati mbaya kuna mshaji wangu alimpenda yaani demu wangu imeonekana anamenda mshkaji mpaka sms za demu wangu kumtafuta mshkaji alinionyesha.. nilivyorudi kutoka Arusha, nilimbana maana niliyasikia kutoka kwa majiran kuwa demu wangu anauhusiano na mshkaji, ..aliniambia yote ni kweli na amekiri hatorudia tena na sim nimemyanganya nina wiki sasa nimemwona ametulia ila sina imani sana .. je nimrudishe au nimbakize...? Maana mm ninasafari sana za wiki na wiki mbili... NAOMBENI USHAURI...
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app





Jibu unalijua lakini unaomba lisiwe hiloAnajidai haelewi hilo, alafu anauliza nimuache au nimrudishe, wakati jibu analo. Kuna watu kwenye mapenzi wako kama wamerogwa kumbe walaa wanajiroga wenyewe.
😀😀😀....siwezi umwa tena.dawa yangu nimeshaikunywa na sasa niko kamili gado.Sitaki urudi hosp. Sipendi uwe huko ujue.
Pole saana na mshukur Mungu.😀😀😀....siwezi umwa tena.dawa yangu nimeshaikunywa na sasa niko kamili gado.
Nashukuru kwa hilo

Jibu analijua ila sema anajifanyisha tu.ni nani katika mapenzi alishawahi amuliwa ugomvi kama huo na watu baki?amua mwenyewe bhana.sasa hy ndo defn ya mwanamke malaya! kwan ukimrudisha utapungukiwa nn mkuu! huu uzi hukutakiwa kuuleta hata huku aic kesho mpandishe na super feo! saa7 nitaenda kumwangalia km bado yupo kwa bus !lol!saa1 huenda akawa dar
Kwakweli namshukuru sana Mungu jiranPole saana na mshukur Mungu.![]()