Mtakayote
Member
- Apr 1, 2016
- 62
- 16
- Thread starter
- #21
Dar kweli ... Ila nampenda kishenziDaah mwanangu hao wanawake NEVER EVER trust them. Mimi ningekua wewe ningechukua narudisha ilipotoka haraka. Then muache mshikaji wako amlipie nauli arudi tena kama wanapendana kweli. Hizo ni tamaa tu lazima atarudi kwa mshikaji tena.
Swali: kwani hapo hapo Songea hakuna wanawake walau upunguze ugumu. Kuliko kukaa kufikiria una mke ndani halafu chakaramu..
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
unaona katulia enheeee ?