Kusalitiwa

Kusalitiwa

Mtakayote

Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
62
Reaction score
16
Mambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea Arusha nikitokea songea na kumwacha yy baada ya kukaa nae mwezi mmoja, kwa bahati mbaya kuna mshaji wangu alimpenda yaani demu wangu imeonekana anamenda mshkaji mpaka sms za demu wangu kumtafuta mshkaji alinionyesha.. nilivyorudi kutoka Arusha, nilimbana maana niliyasikia kutoka kwa majiran kuwa demu wangu anauhusiano na mshkaji, ..aliniambia yote ni kweli na amekiri hatorudia tena na sim nimemyanganya nina wiki sasa nimemwona ametulia ila sina imani sana .. je nimrudishe au nimbakize...? Maana mm ninasafari sana za wiki na wiki mbili... NAOMBENI USHAURI...

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Jasiri haachi asili akiacha asili hana akili

Lakini na wewe ni mzembe kitandan mpaka anatongoza wanaume Emu mpe mgegedo mzur alafu lete mlejesho

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Jasiri haachi asili akiacha asili hana akili

Lakini na wewe ni mzembe kitandan mpaka anatongoza wanaume Emu mpe mgegedo mzur alafu lete mlejesho

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Nampa doZi zakutosha ila basi tu..

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Umemtoa Dar? Kwa maana mmeokotana tu.

Kama jamaa ako anampango wa kuoa mwachie. Jitafutie mtoto mwingine mzee. Huyo hakupendi.

Au unaona wivu?
Asantee

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu umemtoa mwanamke dar kabisa unategea atakaa na wewe awe mke wako kabisa !?
Huyo kaja kimaslahi akirudi dar awe kanona mzee ashaingiza chake kwa msela plus na izo ulimwachia za matumizi akaaah habar kwisha.
Tafta mtoto anaekupenda kaka .
Halafu sijui kwanin wafanyakazi wasomi huwa wanapataga wake wamaonyesho tu ili kubeba status huku wakijionea kabisa hawapendwi plus vizinga au ndo libwata ?
 
Mr mtakayote pole sana kwa kutaka yote hayo ... yan amekubali kabisa kuwa anakusaliti afu bado mtaka ..

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana jamaa yangu
Ila mm nakushaur kuwa makini sana na huyo dada coz kama ndo kwanza hamjamaliza hata mwaka ameanza vituko, je endapo ukamwinua kidogo kimaisha, si anaweza kukukondesha.
NI USHAURI TU.
 
Mm bado Niko chato ..ngoja nikiludi

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Kaniomba msamaha na kamwe hata rudia kasema... Sasa nipo njia panda

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
 
Ni kama vile umemchukua kama house girl
Dar ulimuokota wapi?
Yaan nimeshangaa kwel kwel unamtoa binti dar halafu unategemea mazuri !!
Sipati picha kama msela amempeleka ziwa nyasa walivoselfika
 
Pumbavu kabisa. Huwa najiiliza wanaotuma nyuzi kama hizi kama kweli ni wanaume.

Sent from my GT-I9100 using JamiiForums mobile app
 
Mambo wana jf hope mpo wazima nina tatizo naomba ushauri, nina demu nimemtoa dar kumleta songea ... Yani huku mimi ndio baba na mamake kwa kila kitu... Nilipata safari ya wiki mbili kuelekea Arusha nikitokea songea na kumwacha yy baada ya kukaa nae mwezi mmoja, kwa bahati mbaya kuna mshaji wangu alimpenda yaani demu wangu imeonekana anamenda mshkaji mpaka sms za demu wangu kumtafuta mshkaji alinionyesha.. nilivyorudi kutoka Arusha, nilimbana maana niliyasikia kutoka kwa majiran kuwa demu wangu anauhusiano na mshkaji, ..aliniambia yote ni kweli na amekiri hatorudia tena na sim nimemyanganya nina wiki sasa nimemwona ametulia ila sina imani sana .. je nimrudishe au nimbakize...? Maana mm ninasafari sana za wiki na wiki mbili... NAOMBENI USHAURI...

Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
unaona katulia enheeee ?
Jiulize ulipo mchukuwa hakutulia ?
Alifikiliaje kudeti na rafiki yako (kukusaliti) ?
Vipi ametulia kiuwanda gani maana usione anakaa kimya , hatumii simu , hatoki ukazani ametulia

Huyo we Rudisha kwao Dar es Salaam

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Daah mwanangu hao wanawake NEVER EVER trust them. Mimi ningekua wewe ningechukua narudisha ilipotoka haraka. Then muache mshikaji wako amlipie nauli arudi tena kama wanapendana kweli. Hizo ni tamaa tu lazima atarudi kwa mshikaji tena.

Swali: kwani hapo hapo Songea hakuna wanawake walau upunguze ugumu. Kuliko kukaa kufikiria una mke ndani halafu chakaramu..
 
Back
Top Bottom