Kusalimia mwisho wa mwezi !!

Kusalimia mwisho wa mwezi !!

Sasas mtu nimtege mwenyewe afu anitongoze nije kuomba ushauri hapa?

Itakuwa sawa na kulima bangi afu nitake kuvuna mchicha, mie najua nifanyalo aisee, nilipewa niitumie

mwisho wa siku utakuja kuomba ushauri boss wako anakutaka, kumbe we ndo umemchochea hisia zake.
 
Sasas mtu nimtege mwenyewe afu anitongoze nije kuomba ushauri hapa?

Itakuwa sawa na kulima bangi afu nitake kuvuna mchicha, mie najua nifanyalo aisee, nilipewa niitumie

No. Halafu unaenda polisi kuomba kibali cha kuvuna
 
Chuchu saa sita zinatoboa blausi unadhani bosi atabaki??
Thubutu yake
Tena mm nina kaHouseGirl ka Kisandawe hizo chuchu ni lazima kamsalimie Boflo kila siku sijui angekuwa anakipa mshahara kila siku?
Lakini kweli kama hawa walinzi wa Usiku kabla hujaamka utamsikia akikohoa kwanguvu ujue anakusubiri tu na shikamoo kibao ingawa wewe ni Mjukuu kwake ili tu umkatie chako
 
Last edited by a moderator:
Bossi Boflo shikamoo.....naomba kazi!
 
Last edited by a moderator:
He he he, walinzi nao wana tricks zao

Ndio maana mie niliamua kuwa na mbwa tu

Tena mm nina kaHouseGirl ka Kisandawe hizo chuchu ni lazima kamsalimie Boflo kila siku sijui angekuwa anakipa mshahara kila siku?
Lakini kweli kama hawa walinzi wa Usiku kabla hujaamka utamsikia akikohoa kwanguvu ujue anakusubiri tu na shikamoo kibao ingawa wewe ni Mjukuu kwake ili tu umkatie chako
 
Mara nyingi mabosi wanaosalimiwa salimiwa na wafanyakazi wao mwisho wa mwezi ni watata kwenye ulipaji, hivyo jamaa wanajua wasipokuwa karibu naye japo akumbuke kuwa nao wapo wanaweza kuona vumbi tu. Nasiku wakimuona ameishiwa tayari.

Jaribu kwenda kwenye ofisi za wanaojua kulipa vizuri, bosi mkuu anaonekana siku ya kikao (Aidha cha Onyo/Majukumu ya kiofisi) au Get together.
 
Jirekebishe mkuu, hizo ni dalili mbaya kwa upande wako. Inaonesha kwamba, mtu kupata haki yake toka kwako ni ngumu bila kukunyekea.

Basi mkuu mm siko hivyo; wala sipendi kusalimiwa
Sina kawaida ya kumcheleweshea mtu haki yake kabisa...
lakini hii tabia iko kwa watu wengi sana, ndio maana
nikauliza kupata mawazo yako na sio kunishambulia

Km hv ulivyojibu ndio ukweli, basi tatizo lipo kwa staff wako hawajiamini km ukizingua wawezapata kazi kwingine ama una walipa kidogo sana kiasi kwamba at the end of the month wameishiwa sana, so wanaishi kiuoga uoga!
 
Jirekebishe mkuu, hizo ni dalili mbaya kwa upande wako. Inaonesha kwamba, mtu kupata haki yake toka kwako ni ngumu bila kukunyekea.

Basi mkuu mm siko hivyo; wala sipendi kusalimiwa
Sina kawaida ya kumcheleweshea mtu haki yake kabisa...
lakini hii tabia iko kwa watu wengi sana, ndio maana
nikauliza kupata mawazo yako na sio kunishambulia

Mara nyingi mabosi wanaosalimiwa salimiwa na wafanyakazi wao mwisho wa mwezi ni watata kwenye ulipaji, hivyo jamaa wanajua wasipokuwa karibu naye japo akumbuke kuwa nao wapo wanaweza kuona vumbi tu. Nasiku wakimuona ameishiwa tayari.

Jaribu kwenda kwenye ofisi za wanaojua kulipa vizuri, bosi mkuu anaonekana siku ya kikao (Aidha cha Onyo/Majukumu ya kiofisi) au Get together.

Nukta. Well dots connected!
 
Boflo,au leo umezidisha kupaka mipouda nini?si kwamba walikuwa wanakuamkia bali wanashangaa mipoda yako
 
Back
Top Bottom