Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Hivi kwa nn wafanyakazi
Wanapenda kuwasilimia mabosi
wao mwisho wa mwezi ??
Leo asubuhi tu wakati natoka
mlinzi kanisalimia "shkamoo bosi"
nilipofika ofisini pia nimechangamkiwa sana na staff wangu, umeamkaje boss??
Hali kama hii huwa sikutani nayo. mpaka mwisho wa mwezi !!!
Nini sababu?