Kusaini kwenye vitabu getini

Nimegundua watu wengi hawajamuelewa muandishi, mm nilichokiona hapa kwamba muandishi alikuwa anataka kujua umuhimu wake, lakini watu wameng'ang'ania kwa sababu ya usalama.
Mm sioni usalama wowote ule, kwa sababu mtu unajiandikia unachotaka na hata yule msimamiz wa kitabu anashindwa kujaribu hata kukuhoji, eg number ya simu ya ukweli, kwa ufupi sionagi km kwao msadaaaa
 
Kwani watajuaje kama jina nililoandika ni langu au wanaombaga na copy ya kitambulisho cha mpigakura.?
Labda wangekuwa wanaomba hata ka picha[emoji13] [emoji13]
hahahahaahah
 
Precisely
 
Ahsante sana
 
Punguza hasira best, huo ndio utaratibu WA ofisi ili kupunguza punguza wahuni na vibaka kuingia hovyo maofisini

Kweli kabisa
Pia, in case of emergency, kitabu hicho husaidia rescue teams kujua ni watu wangapi wako ndani...
 
Mkuu ujue kitechnolojia bado tupo nyuma sana hatuna vifaa na watumiaji wa vifaa hawapo, huu utaratibu unamsaidia mlinzi pindi likitokea tatizo, vumilia tu mkuu bado sisi ni ulimwengu wa tatu.
Kuandikisha gesti ukiingia usiku huwa na lengo gani?
 
Toa ufafanuzi, kiusalama kivipi?

Na je unaona utaratibu unakidhi lengo?
Utaratibu unakidhi, hasa ukizingatia kwamba nchi yetu bado inajikongoja hasa ktk swala zima la Technology ,
Hata ukiangalia mifumo midogo tu ya Cctv hata hyo bado hatujaweza kuimudu, Video nyingi za Cctv bado sio Coloured, refer kwenye video ya Bashite ndani ya Clouds.
 
Nina majibu yote ya maswali yako ila sioni kama kuna sababu ya kukujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…