Kusaidiana na mwenza wako ni muhimu!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusaidiana na mwenza wako ni muhimu!!!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by shiumiti, Jan 21, 2011.

 1. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi kwa sisi Waafrika halisi kusaidiana kwa jinsi hii na mzazi mwenzako kunawezakana, au tunaiga wazungu????? TUJADILI!!!
   

  Attached Files:

 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mimi kama mimi naweza na nasapoti asilimia mia maana mtoto ni wangu na nilimzalisha mwenyewe sasa akitoka tumboni kwa mama yake ni wajibu wangu kumsaidia maana ye alinisaidia miezi tisa kitu gani mi nikimpa tafu sa ivi?wala sio kuiga wazungu.
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sio lazima kuiga wazungu bwana
   
 4. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Sasa ndugu unaposema tunaiga wazungu unamaanisha nini?Huoni kuwa huyo mtoto aliyebebwa ni chotara ikimaanisha kuwa huenda mama ni mzungu,au mwarabu.Kwa hiyo hapo haigi ndio maisha yenyewe hayo.

  <?xml:namespace prefix = v ns = "urn:schemas-microsoft-com:vml" /><v:shapetype id=_x0000_t75 stroked="f" filled="f" path="m@4@5l@4@11@9@11@9@5xe" o:preferrelative="t" o:spt="75" coordsize="21600,21600"> <v:stroke joinstyle="miter"></v:stroke><v:formulas><v:f eqn="if lineDrawn pixelLineWidth 0"></v:f><v:f eqn="sum @0 1 0"></v:f><v:f eqn="sum 0 0 @1"></v:f><v:f eqn="prod @2 1 2"></v:f><v:f eqn="prod @3 21600 pixelWidth"></v:f><v:f eqn="prod @3 21600 pixelHeight"></v:f><v:f eqn="sum @0 0 1"></v:f><v:f eqn="prod @6 1 2"></v:f><v:f eqn="prod @7 21600 pixelWidth"></v:f><v:f eqn="sum @8 21600 0"></v:f><v:f eqn="prod @7 21600 pixelHeight"></v:f><v:f eqn="sum @10 21600 0"></v:f></v:formulas><v:path o:connecttype="rect" gradientshapeok="t" o:extrusionok="f"></v:path><?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:lock aspectratio="t" v:ext="edit"></o:lock></v:shapetype><v:shape style="WIDTH: 198pt; HEIGHT: 300pt; VISIBILITY: visible" id=BLOGGER_PHOTO_ID_5483425788729411010 o:button="t" alt="http://1.bp.blogspot.com/_7ovpXs5-lxM/TBkKs9FuxcI/AAAAAAAAAkg/LYZj-hb_GSo/s400/17877_1200775899387_1228237946_30497222_4205053_n%5B1%5D.jpg" type="#_x0000_t75" o:spid="_x0000_i1025"><v:imagedata src="file:///C:\DOCUME~1\Michel\LOCALS~1\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image001.jpg" o:title="17877_1200775899387_1228237946_30497222_4205053_n%5B1%5D"></v:imagedata></v:shape>
   
 5. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #5
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kuna namna yake ya kusaidia,vinginevyo utaonekana pimbi kama huyo mshikaji wako wa kwenye picha
   
 6. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lakini ni vizuri ukakumbuka kwamba wote wawili ni wazazi. Na wewe mwanaume ndio uliyempatia hiyo mimba!!!!!!
   
 7. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
   
 8. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haswaaa!!!! maana mtoto ni wa baba na mama, kwa hatuna budi kusaidiana
   
 9. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Shiumiti;lakini kumbuka kuwa kuna roles za nyumbani ambazo unaeza sema ziko more musculine na nyingine inapendeza zaidi akifanya mama,kama pia unazingatia mila,desturi na utamaduni wa wahusika.Hapo kwa mfano mama angekuwa anafanya hiyo kazi ya kuosha vyombo,halafu mimi ningekuwa natoa vumbi kwenye carpet au napanga magunia ya mkaa store..Mtoto nitambeba,tena saana lakini siyo katika mazingira na kama alivyobeba huyo jamaa.Na hata kama uko na mzungu,binafsi hawezi akanibebesha mtoto kwa mtindo huo,huku nikiosha vyombo.Imagine hapo mara vuuup wanakuja washkaji au ndugu au jamaa zako na wanakukuta katika hali hiyo,huku bibie kaweka miguu juu kwenye sofa anacheki ma episodes ya dr house!
  anyway,tuko tofauti na kila mtu na afanye anachoona kinaifurahisha nafsi yake
   
 10. LD

  LD JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We MHUBIRI ni mbinafsi sana!Swala la kufurahisha nafsi yako tu linaisha pale unapokua na mwenza!Hapo unatakiwa ujitahidi kufurahisha yake na yako..COMPROMISE is the word!!Mtoto wako mwenyewe huwezi kumwangalia?Siku mama yake akiumwa na hamna mtu mwingine wakusaidia itakuaje?Hatuko enzi za ujima bwana!Nenda na wakati!
   
 12. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Lizzy;nadhani hujasoma vizuri nilichoandika au pengine hujauelewa mtazamo wangu katika mahusiano.Sipingi dhana ya kusaidiana na mamsap,isipokuwa mtazamo wangu upo tofauti katika mazingira ya kusaidiana na namna ya kusaidiana.Kwanini kama nina mke niache kumsaidia,niache afanye kazi kama punda kisha akongoroke mapema,wakati yeye ndiye niliyempenda kuliko wengine wote??Lakini msaada wangu kwake ni lazima uwe na mipaka.Mfano;hataweza kunibebesha mtoto,huku naosha vyombo kama huyo jamaa wa kwenye picha,halafu yeye anapiga story na mashoga zake sitting room.HAPANA!Ukinisoma tena kwenye post yangu no 9,utaona nimesema wazi kuwa mtoto nitambeba.Ni mwanangu,kwanini nisimbebe?Nimetaja pia mifano ya kazi nyingine za nyumbani ambazo ningeweza kufanya ili kusaidiana na demu/mke wangu.
  Bado wadhani mimi ni mbinafsi Lizzy??
   
 13. P

  Pokola JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  mimi sisaidii ng'ooo!!:kev:
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mhubiri kazi yoyote ile..na mazingira yoyote!Kwani akiwa na mashoga zake huwezi kumpa break kidogo?We ukiwa na wako anakuja kubanana na nyie sebleni?I don't think so!Ile dhana ya kuonekana bw.ege futeni bwana...be helpfull at all times just like we always are!
   
 15. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ha ha ha mambo ya mume bwe ge hayo na wanawake wenyewe wa kibongo,yeye ndiye atakuwa wa kwanza kukuona bwe ge!
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well kama ni mwelewa atajua unamsaidia tu ila kama ni mswahili ndo basi tena!Jaribuni lakini!
   
 17. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi kwa mawazo yako, kuna kazi ambazo zimepangiwa kuwa hizi ni za mwanamke, na hizi za mwanaume??????? Na unaamini hapo kwenye nyekundu wana nafasi kubwa katika mahusiana ya wewe na mke wako????

   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo Lizzy utataka nimbebe mtoto na kuosha vyombo wewe ukiangalia TV ? mi napika,kusafisha nyumba na kupiga pasi lakini kuosha vyombo na nguo labda uwe mgonjwa au unataka ninyoshewe kidole mtaani ?
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumbe na wewe ni mkoloni ehh?Mbona ndoa yako itakua na kazi!Labda ukaoe kijijini!
   
 20. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  pale kijijini kwetu jamaa alikuwa akifanya kazi kama hizo ili usiku asisukumwe na miguu walisema yake ilikuwa kubwa hivyo ilikuwa ni namna ya kubembeleza, hapo je haistahili kufanya hivyo?
   
Loading...