Nature.
mkubwa, kibaya zaidi wao hawayafanyi majumbani mwao, wanawadanganya mabinti wanaosubiri kuchumbiwa ............... yanapowakuta na kutwangwa makofi wao ndoa zao shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii....................
waonye akina pearl, bht nk, sio wavutie spid ndoa halafu waishie kunawa washindwe kula.................
Huu uzungu huu utamkosa shemeji mi nipo kama fisi vile
yeye mwenyewe mzungu.....
endelea kusubiri na ufisi wako si tunasonga mbele tu...........
ckushangai sana! kaka zangu nyie wachaga nawajua sana, ndio zenu hizo ukimsaida wife unaona kama umetawaliwa vile, esp wa marangu.
....and whats wrong with any of that?Utakuja ambiwa ufue hadi skin taiti na khanga ukimaliza uoshe vyombo na upige deki yeye anaenda saloon
mkubwa, kibaya zaidi wao hawayafanyi majumbani mwao, wanawadanganya mabinti wanaosubiri kuchumbiwa ............... yanapowakuta na kutwangwa makofi wao ndoa zao shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii....................
waonye akina pearl, bht nk, sio wavutie spid ndoa halafu waishie kunawa washindwe kula.................
....and whats wrong with any of that?
Tatizo hawapendi kuukubali huu ukweli. Wameshaikimbia thread ngoja niwafukuzie walipohamiamkubwa, kibaya zaidi wao hawayafanyi majumbani mwao, wanawadanganya mabinti wanaosubiri kuchumbiwa ............... yanapowakuta na kutwangwa makofi wao ndoa zao shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii....................
waonye akina pearl, bht nk, sio wavutie spid ndoa halafu waishie kunawa washindwe kula.................
Litakuwa balaa na mwisho wa dunia utafikaUtakuja ambiwa ufue hadi skin taiti na khanga ukimaliza uoshe vyombo na upige deki yeye anaenda saloon
Halafu ataanza kulalamika hapendwi.Huu uzungu huu utamkosa shemeji mi nipo kama fisi vile
Big up Kisasangwe, wanataka kutupandia kichwani hawa lol!hapo umenena.swali kwa hao wanaodai hawawezi kufua eti ni wajibu wa mkewe... kabla hujaoa alikua anafua nani au ndo kusema mlikua hamvaii.. ubabe wa kijinga.huko ni kutojali. yani nyie ndo wale ambao mkiugua mnataka hata mtafuniwe msosi wakati akiumwa mkeo hata kumpa maji ya kunywa unatafuta jirani aje kusaidia. mbona hamsemi kuzama humo msamehewe.kutwa kucha mnasaka uvungu. afu eti kufua kinachofunika ndo mtu aseme atamlamba mkewe makofi. ujinga mtupu
Lakini umesahau kuwa wewe ni mweusi unataka ujifanye mzungu haya bana yatakushinda.
Halafu ataanza kulalamika hapendwi.
Yeah, rare i agree. You are of your own type, disrespectiful of women, humiliator and bossy. Real men dont do that.
Being a full-time mother is one of the best salaried jobs...since the payment is pure LOVEKwani kazi ya mwanamke ni ipi na kazi ya mwanaume ni ipi ndani ya nyumba tuwekane bayana.
sasa kumbe ulivoniambia uzungu ulimaanisha nini wakati unajua mie mweusi............
Being a full-time mother is one of the best salaried jobs...since the payment is pure LOVE
Hiyo ni signature ya Kisasangwe, hope you get some hints.
Tabia za kizungu kumwambia mwenzio afue sindiria afue kufuli zako afue kanga zako afue nanihii na akate nanihiino
hapo umenena.swali kwa hao wanaodai hawawezi kufua eti ni wajibu wa mkewe... kabla hujaoa alikua anafua nani au ndo kusema mlikua hamvaii.. ubabe wa kijinga.huko ni kutojali. yani nyie ndo wale ambao mkiugua mnataka hata mtafuniwe msosi wakati akiumwa mkeo hata kumpa maji ya kunywa unatafuta jirani aje kusaidia. mbona hamsemi kuzama humo msamehewe.kutwa kucha mnasaka uvungu. afu eti kufua kinachofunika ndo mtu aseme atamlamba mkewe makofi. ujinga mtupu
ooh mama yeeyo ndo maana nkamwambia angekua na mutu kama mimi angeshaipata khabari yake. REAL men wanajali sana. i pit his wife au gf kama hajaoa