Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mbona hata kuku JF wana wanasaidiana kwa njia ya kuelimishana?au hili hulioni mkuu?Sawa kabisa; hata huku JF tuwe tunasaidiana sio porojo tuuuuu!
Mkuu hapo haponi mtu wala mbwa!
mkuu mbona hapa tunasaidiana sana.Sawa kabisa; hata huku JF tuwe tunasaidiana sio porojo tuuuuu!
Mbona hata kuku JF wana wanasaidiana kwa njia ya kuelimishana?au hili hulioni mkuu?
Mbona hata kuku JF wana wanasaidiana kwa njia ya kuelimishana?au hili hulioni mkuu?
Mkuu ingelikuwa ni wewe ungelifanya kitu gani hapo?Mkuu hapo haponi mtu wala mbwa!
Ningemtosa mbwa na kwenda zangu & demu wangu!Mkuu ingelikuwa ni wewe ungelifanya kitu gani hapo?
Jamaa yote hayo hayaoni!achilia mbali kuelimishana...kuna misaada mingi watu tunapata hum
Mkuu acha utoto,naona umekomalia typing error,kibaya zaidi unajenga hoja kwa kutumia typing error,huku ukiachana kabisa na hoja ya msingi!Kuku wanasidiana kwa kupiga kelele wakimuona kicheche ili wengine wajiandae namna ya kuescape wasije wakawa kitoweo
It makes sense!Ingawa Dunia haipo hivyo!
Jamaa yote hayo hayaoni!