Salam wadaw...nlikuwa na swala zamani ambalo sijapata jibu kutokana na kila mtu na maoni yake sasa nimeshidwa kuelewa ni kipi sawa.nimejaribu kupeleka jf doc lakini hamna majibu inshort mimi nikisafisha uke kwa kidole na kutowa utoko uke wangu hubana sana tight unakuwa..na nikisafisha kwa juu tu na kuacha utoko ndani huwa nakuwa loose na harufu si nzuri hujitokeza.sasa ni kipi sawa kusafisha juu tu au kwa kidole???
Ukiona uke unatoa harufu ujue kuna shida mahali, pia the more unavyojichokonoa ndio wale walinzi wako wanavyojizalisha zaidi wakidhani kuna adui ameshambulia.
Mimi nakushauri yafuatayo
1. Acha kutumia pad za kunukia au manukato ya aina yoyote ukeni, ile harufu yako ya asili ndio inampa mzuka zaidi mwenzi wako.
2. Jitahidi kutumia zile sabuni maalum za kusafishia ukeni kama unaona ni muhimu sana kutumia sabuni.
3. Pendelea kunywa natural yogurt ili ikusaidie kubalance pH
4. Kama maeneo uliyopo kuna cranberry jitahidi uwe uwe unakula kwa wingi kama hamna nunua juice yake
5. Uwe unakula mananasi kila unavyoweza.
6. Kuhusu uke kubana uwe unafanya kegel
(kwani umetanuka na nini mwenzetu[emoji85] mpaka uhangaike hivyo)
Lakini ukiona bado tu uke wako unashindwa kujibalance na kurudia hali ya kawaida basi hakikisha unanuona gyno kwasababu ni wazi utakuwa na tatizo la kiafya
Usikose kuja kutupa mrejesho