Kusafisha uke kwa kidole hufanya uwe tight

Usafi nimuhimu kwa mwanamke,kusafisha kwa kutia vidole ni nzuri sana sababau unatoa uchafu vizuri na pia kuna dawa nyengine unaweza kuweka mara 1 kwa week pia husaidia sana kuua vidudu....
Tumia hii ndugu utajipenda mwenyewe. Shemeji atakuwa kama anakula chocolate.
b04e537bd5baba1b6bf3d8c313f15e79.jpg

7025df7fe32cfed7aa1a5c070b7c0d9a.jpg
12b8d958b09766d82af7951001688ee4.jpg
 
Wee endelea kusafisha mpaka ndani, ukiacha kusafisha ndani unataka kuwa mchafu.
 
Salam wadaw...nlikuwa na swala zamani ambalo sijapata jibu kutokana na kila mtu na maoni yake sasa nimeshidwa kuelewa ni kipi sawa.nimejaribu kupeleka jf doc lakini hamna majibu inshort mimi nikisafisha uke kwa kidole na kutowa utoko uke wangu hubana sana tight unakuwa..na nikisafisha kwa juu tu na kuacha utoko ndani huwa nakuwa loose na harufu si nzuri hujitokeza.sasa ni kipi sawa kusafisha juu tu au kwa kidole???
Zen naomba nijibu Kiswahili kwa faida ya wengine pia wasioolewa kiingereza maana Kiswahili angalau kidogo unakijua.
kwanza kabisa naomba nikuhakikishie kua K ya mwanamke haina harufu mbaya, ina harufu ya kawaida ya K, wataalam wanasema harufu kwa mbali kama maji ya prawns. Unapokua na harufu tofauti na hii, basi kuna tatizo.
Utoko kama unavyouita mwenyewe ni ule weupe unaotoka kwenye K, mwanamke mwenye hii kitu ni dalili za uchafu. huo ndio wenye kuleta harufu isiyotakikana unapokaa ndani muda mrefu.
ni aibu kwa mwanamke ukutane na mwanamme halafu kuna kiharufu cha ajabu kinatoka huko chini kama uvundo.
hicho kinaashiria uchafu, na pia inam put off mwanamme. kutia kidole ndani haimaanishi ndio kujisafi vizuri, hapana. K ina unyevunyevu wa hujisafisha yenyewe. Unasafisha na kidole pale ambapo tu umekutana na mwanaume ili kutoa shahawa zilizobaki ndani, maana zisipotoka zote pia zinaleta harufu baada ya muda.
uanaposafisha kwa kidole K na kuhisi inabana sio kua imebana ila umetoa ule unyevunyevu ulio ndani ya K, kitu ambacho si kizuri, K inatakiwa iwe na unyevunyevu ambao unatokana na bacteria wavuzi wenye kulinda K yako.
malalamiko yamekua mengi wadada kutoka kwa wanaume juu ya uchafu wetu wanawake (japo na wap pia wako wachafu). Manywele kichwani, makwapa, chini ya maziwa, chini ya tumbo, pembezoni mwa K, hizi zote ni sehemu zenye kulundika uchafu na kuleta harufu hasa kwa jiji lenye joto kama Dar na kwa walio wanene. kutokana na maumbile yetu, tunaonekana kua wachafu zaidi ya wanaume, japo na wao kuna wenye harufu, japo ikisikika usipokua mwangalifu unatupiwa lawama wewe.
Nawakumbusha, K husafishwa na maji tu bila sabuni zenye chemicals. kuna sabuni maalum kwa ajili ya K, forever living na Oriflame wanazo, si kwa kutia ndani bali kusafisha kwa juu tu. kama huwezi ku afford, maji yanatosha. msipende kutia vidole mara kwa mara au sabuni ndani ya K, japo tunadanganyana sana kwenye makongamano ya wanawake tusafishe na kidole.
chonde chonge ladies, usikubali utoe harufu ya namna yoyote ile katika mwili wako, tusiwape nafasi hawa wababa kutusema kutwa kua sisi ni wachafu. Manywele kichwani yasikae muda mrefu, kwapa liwe safi kwa kuchoa mara kwa mara, deodorant please chini ya kwapa, chini ya maziwa kusafishwe kila unapooga, chini ya tumbo, pembeni kwa K na kunyoa kwa mkasi, nyuma katikati ya matako na hitimisho K yenyewe. chukua muda wa kutosha unapooga, kama asubuhi una haraka kwenda kazini, basi jioni tumia muda wa kutosha na maji ya kutosha kuweka mwili safi, hata kama uko mwenyewe. harufu za ajabu zina bore jamani, piga mswaki twice a day na kusafisha ulimi maana ndio wenye harufu kali.
Usafi wa mwanamke unahitaji kutulia sana, hapa nimeeleza kwa ufupi tu. Kwa mwenye kuhitaji maelezo kwa kirefu anaweza kuni inbox.
Zen natumaini umenielewa vizuri. kuna mazoezi ya kubana K yanafanyika kila asubuhi lakini si kwa kujisafisha kwa vidole. tuonane inbox kama unahitaji kujifunza.
 
Atakuwa amekuelewa kama siyo wamekuelewa kabisa wahusika

Hivi kumbana k napo ni dili eti eeeee

K iliyotunuka siyo dili siku hizi [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
What is your first language cause clearly English isn't either. As for ur question what would really want to be answered coz u seem to already have the answer. This is kind of a very intimate and personal matter to be sought advised for at JF.
Nothing seems to be so personal these days neither wrong to question or ask things we need answers.
 
Zen naomba nijibu Kiswahili kwa faida ya wengine pia wasioolewa kiingereza maana Kiswahili angalau kidogo unakijua.
kwanza kabisa naomba nikuhakikishie kua K ya mwanamke haina harufu mbaya, ina harufu ya kawaida ya K, wataalam wanasema harufu kwa mbali kama maji ya prawns. Unapokua na harufu tofauti na hii, basi kuna tatizo.
Utoko kama unavyouita mwenyewe ni ule weupe unaotoka kwenye K, mwanamke mwenye hii kitu ni dalili za uchafu. huo ndio wenye kuleta harufu isiyotakikana unapokaa ndani muda mrefu.
ni aibu kwa mwanamke ukutane na mwanamme halafu kuna kiharufu cha ajabu kinatoka huko chini kama uvundo.
hicho kinaashiria uchafu, na pia inam put off mwanamme. kutia kidole ndani haimaanishi ndio kujisafi vizuri, hapana. K ina unyevunyevu wa hujisafisha yenyewe. Unasafisha na kidole pale ambapo tu umekutana na mwanaume ili kutoa shahawa zilizobaki ndani, maana zisipotoka zote pia zinaleta harufu baada ya muda.
uanaposafisha kwa kidole K na kuhisi inabana sio kua imebana ila umetoa ule unyevunyevu ulio ndani ya K, kitu ambacho si kizuri, K inatakiwa iwe na unyevunyevu ambao unatokana na bacteria wavuzi wenye kulinda K yako.
malalamiko yamekua mengi wadada kutoka kwa wanaume juu ya uchafu wetu wanawake (japo na wap pia wako wachafu). Manywele kichwani, makwapa, chini ya maziwa, chini ya tumbo, pembezoni mwa K, hizi zote ni sehemu zenye kulundika uchafu na kuleta harufu hasa kwa jiji lenye joto kama Dar na kwa walio wanene. kutokana na maumbile yetu, tunaonekana kua wachafu zaidi ya wanaume, japo na wao kuna wenye harufu, japo ikisikika usipokua mwangalifu unatupiwa lawama wewe.
Nawakumbusha, K husafishwa na maji tu bila sabuni zenye chemicals. kuna sabuni maalum kwa ajili ya K, forever living na Oriflame wanazo, si kwa kutia ndani bali kusafisha kwa juu tu. kama huwezi ku afford, maji yanatosha. msipende kutia vidole mara kwa mara au sabuni ndani ya K, japo tunadanganyana sana kwenye makongamano ya wanawake tusafishe na kidole.
chonde chonge ladies, usikubali utoe harufu ya namna yoyote ile katika mwili wako, tusiwape nafasi hawa wababa kutusema kutwa kua sisi ni wachafu. Manywele kichwani yasikae muda mrefu, kwapa liwe safi kwa kuchoa mara kwa mara, deodorant please chini ya kwapa, chini ya maziwa kusafishwe kila unapooga, chini ya tumbo, pembeni kwa K na kunyoa kwa mkasi, nyuma katikati ya matako na hitimisho K yenyewe. chukua muda wa kutosha unapooga, kama asubuhi una haraka kwenda kazini, basi jioni tumia muda wa kutosha na maji ya kutosha kuweka mwili safi, hata kama uko mwenyewe. harufu za ajabu zina bore jamani, piga mswaki twice a day na kusafisha ulimi maana ndio wenye harufu kali.
Usafi wa mwanamke unahitaji kutulia sana, hapa nimeeleza kwa ufupi tu. Kwa mwenye kuhitaji maelezo kwa kirefu anaweza kuni inbox.
Zen natumaini umenielewa vizuri. kuna mazoezi ya kubana K yanafanyika kila asubuhi lakini si kwa kujisafisha kwa vidole. tuonane inbox kama unahitaji kujifunza.
ewalaah wamekuelewa vzur sana
 
Your english not good too dear? Dd u mean vaginal o virginal discharge
ajesema kuwa inglish ndo fisrt langweji yake, ila amesema kuwa kiswahili siyo fest langweji yake, kwahiyo inawezekana ikawa fest langweji yake ikawa kichaga au kimakonde
 
Salam wadau,

Nilikuwa na swala zamani ambalo sijapata jibu kutokana na kila mtu na maoni yake sasa nimeshidwa kuelewa ni kipi sawa. Nimejaribu kupeleka JF Doctor lakini hamna majibu.

Inshort mimi nikisafisha uke kwa kidole na kutowa utoko uke wangu hubana sana (tight unakuwa), na nikisafisha kwa juu tu na kuacha utoko ndani huwa nakuwa loose na harufu si nzuri hujitokeza.

Sasa ni kipi sawa, kusafisha juu tu au kwa kidole?
Siyo kweli unajichua ukijipiga vidole? Hembu eleza vizuri.
 
Back
Top Bottom