mrembowangu
Member
- Nov 20, 2013
- 25
- 8
Samahanini sana na sina uhakika kama hii topic inastahil kuwa jukwaa hili ila nimeweka huku sababu wataalam weng wa mambo most of time wapo available sana jukwaa hili
Back to topic, Hivi hii dhana ya kusema kwenda kusafisha nyota yako ili ufanikiwe katika mambo yako kama Kifedha, kikazi au hata kimapenzi inakuwaje? Na jee huko kwa mtaalamu anayekusafishia hyo nyota hamna mambo ya kafara yanaweza kufanyika?
Ni kitu kinaniumiza sana kichwa sababu anayehitaji kusafishiwa ni mtu wa karibu sana na nahofu kama kuna kafara mmoja wa familia akadhurika na kafara hiyo.
Please nisaidieni kwa mnaotambua juu ya hiyo kitu.