Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,553
- 35,424
Hahahah I see,
Hahahah I see,
Duuh basi ndio maana iko ivyoMkulu ashasema beach zote ni za public na sio sio mahala pa kuwekeza.
Haha bado nacheka mana nimekumbuka mbali honeyHahahah I see,
We in nomaKawe Beach. Cow way Beach.
mbona wazungu ulaya wanaenda na mbwa beach au wanapanda nao public transport? au sababu hao ni ng'ombe? wazungu kukumbatia mbwa mda wote huoni tabu ila ngombe kuna tatizo?Jana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
View attachment 662854
View attachment 662855
View attachment 662856
View attachment 662857
Kwa wadau wa mazingira na mamlaka zinazohusika na hili ,je ni sahihi kuruhusu mifugo kufika ktk maeneo haya ya public?
Msiinite central kujieleza,kama mnataka maelezo tuhojiane hapahapa.
Acha uchocheziJana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.
View attachment 662854
View attachment 662855
View attachment 662856
View attachment 662857
Kwa wadau wa mazingira na mamlaka zinazohusika na hili ,je ni sahihi kuruhusu mifugo kufika ktk maeneo haya ya public?
Msiinite central kujieleza,kama mnataka maelezo tuhojiane hapahapa.
Acheni wapiga kura wake wafanye watakaloJana muda wa jioni hivi baada ya mhemhe za hapa na pale nilipata fursa na kwenda kupata upepo mwanana katika beach iliyopo Kawe maarufu kama KAWE beach, nilichokutana nacho ni hichi.