Hawa ndio cream ya CCM.Hawa ndio walaji wa kodi zetu na wanaosaini mikataba kwa niaba ya nchi yetu. Hawa ndio wanatujuza kuzaliwa kwa Magreth 1987 na kuanza kutawala 1979, miaka tisa kabla ya kuzaliwa. Swali kuu ni kwenye mikataba wanafanya nini? Lazima wananchi tufanye maamuzi ya lazima kwa ustawi wetu.Hii ya Tanzania kutokana na muungano .... haitufai.THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone:
255-22-2114512,2116898
E-mail:ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,THE STATE HOUSE,P.O. BOX 9120,DAR ES SALAAM
.
Tanzania
.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI![]()
![]()
![]()
![]()
Mheshimiwa Margaret Thatcher ambaye kabla ya ndoa yakealijulikana kama Margaret Hilda Roberts alizaliwa Oktoba 13,1987 . Aidha , alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka 11 kati ya1979 na 1990 imetolewa na
:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu
.Dar es Salaam.8 Aprili, 2013
utakataa mpaka ya mullugo aliposema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe, hili ndo tatizo kupeana vyeo kikuwadi, acha upumbavuHuna hoja...
:bange::bange:BHULULU acha kutetea ujinga,taasisi kubwa kama hiyo inapotoa taarifa kwa uma lazima iwe makini sio kuichukulia lightly kwamba vilimchanganya,ana haraka ya kwenda wapi na hiyo ndiyo kazi yake?
tatizo watanzania hatukosi kujitetea hata kwa kumtetea mtu mmoja anaefanya ujinga kwa makusudi:nono:
Ni kweli mkuu ni makosa ya uchapaji tu. Ila sisi tutalifanya kuwa agenda kuu......
Hiyo inaitwa typo.
By the way, umeitoa kwenye blog binafsi na sio kwenye chapisho la kiofisi la Ikulu.
Kuilaumu Ikulu kwa chapisho la blog binafsi kunaonyesha lack of maturity...
Maandishi yako na jina lako havina tofauti malyenge ndivyo nafikiri hata macho yako yalivyo