Kurugenzi habari Ikulu yakanusha rais kusaini posho kama ilivyo ripotiwa na magazeti

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Mchana huu kurugenzi ya habari ikulu imekanusha taarifa ya Rais Kikwete kusaini posho za wabunge kufikia 330,000/ perdem kama ilivyo ripotiwa na gazeti la mwananchi. Source: Radho Cloudz.
 
Mchana huu kurugenzi ya habari ikulu imekanusha taarifa ya Rais Kikwete kusaini posho za wabunge kufikia 330,000/ perdem kama ilivyo ripotiwa na gazeti la mwananchi. Source: Radho Cloudz.

Nani anasema ukweli? Waziri mkuu au kurugenzi ya mawasiliano?
 
Sasa hii ni Serikali au ngoma ya mdundiko? maana kila mwenya mdomo asema;Mwanasheria mkuu wa serikali anapaswa kuto tamko rasmi kama posho zimepita au la, maana kisheria lazima Raisi atie mkono.
 
clouds ni matapeli tu hasa yule kibonde ndo nuksi kabisa hana tofauti na faiza fox. sasa nani mkweli anaeujua ukweli hasa wabunge tuambiane humu.
 
Zitto aliwaambia haijasainiwa, Nkamia akamjia Juu, Pinda akasema imesainiwa n now Kurugenzi inasema hapana.

Tumwamini nani?? Vigeugeu
 
Kwa jinsi serikali yenyewe ilivyo, hatuwezi kuiamini. Inawezekana JK kasaini lakini baada ya kuona ngoma ya mgomo wa madaktari huku serikali ikdai haina fedha ya kuwalipa madai yao, sasa inataka kumfanyia Mtoto wa Mkulima Pinda kama ilivyofanya kwa mtangulizi wake EL kwa kumtoa kafara. Pinda siyo mwendawazimu awatangazie wabunge jambo la uongo halafu aungwe mkono na Spika Makinda. Sasa ni zamu ya wabunge kugoma hadi walipwe posho mpya.....
 
2meshawazoea hao malaria sugu,wanajikanganya kila wakti,NATAKA KUAMINI KUWA MKULU WA KAYA HUWA ANAPIMA MAJI KWA KIJITI,when they released watz wakiriact anabadilika.yani hajiamini,hata kama ni wewe BARUBARU upo kurugenzi ya ikulu kila wakti unaonekana unachemka kama Salva kwa maslahi ya mkuu,bora cku yako inaingia.KWANI SALVA ALIITEGEMEA POST ILE
 
Karatasi imesainiwa na kupewa baraka zote na rais na waziri mkuu alithibitisha wasituinjoi tu hawa kwa kuogopa mgomo wa madaktari
 
Hii ndiyo Serikali ya JK bwana. Uwongo na Ukweli kwao ni kitu kimoja. JK asema kwenye mkutano wa hadhara haijui richmond na mtoto wake dowans. EL amwambia kwenye mkutano wa NEC kwamba alimwambia aachane na richmond, JK akajibu kuwa aache mambo yaendelee, anaijua na ni sahihi. Sasa kuna cha kushangaza katika hili? Jk, Pinda na bi kidude Kinda ndio zao!!!
 
Back
Top Bottom