Kurudishwa payroll ya Serikali

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
646
415
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.

Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.

Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.
 
huna ujanja,la haraka kaongee na afsa utumishi akuandalie data sheet yako haraka ili uwahi na mahahara wako uanze kuflow mapema!! other wise hakuna shortcut make hiyo kitu ipo ki system!! may be wakati unariport ajira mpya ungebadilisha initial yako ya majina ya katikati usumbufu huu usingetokea!!
 
kaka ahsante tatzo sikuwa na uzoefu wa hlo suala.Pia niliambiwa eti ukishafutwa payroll haina shida kurudi-ila siku hzi tofauti kabisa.
 
hapo bado una kazi kaka kuna mtu ana miaka miwili hajapata mshahara kutokana na tatizo kama lako member aliyedai kubadili initial toa mfano na jinsi ya kubadili
 
hazina huwa tunatumia majina matatu! mfano
KIFUBA J KYAITAHWA so ukipata ajira mpya unabadili inakua
KIFUBA Z KYAITAHWA hao tayari wanakua watu wawili tofauti
 
Wadau mimi tangu 2007 nimeajiriwa katika halmashauri ya Biharamulo kama mwalimu.2012 niliamua kuondoka kituoni na nkaenda shule ya private hapa Mwanza,mwaka jana kuna kazi ya ualimu katika mojawapo ya shule za mashirika ya umma ilitangazwa na tume ya ajira nikaomba na nimepata kazi.

Tatizo walipoenda kuniingiza kwenye system ikaonekana nshaajiriwa serikali.Kwahyo natakiwa kurudi Biharamulo na kuomba nirudishwe payroll na nihamishe datasheet.

Je wadau ni njia gani nyepesi nitumie ili nifanikiwe katika hili na ukizingatia niliondka kazin kwa kukimbia mazingira magumu.

wewe una issue km yangu
 
kumbe wahanga hyo ki2 tupo wengi mie nimehangaika tokea mwaka 2012 afisa utumishi anazingua! kama kuna ajuae njia sahihi atujurishe wadau..
 
ulanzi mtamu: Nijibu maswali yafuatayo ndio nikusaidie.

1.Wakati unaondoka

(a)Uliaga? Au kupewa ruhusa na mwajiri wako?..na document ya kuthibisha hilo unayo?

(b) Kama hapo (a) hukufanya hayo;- je uliendelea kulipwa mshahara wako wakati haupo kazini??

2. Unabarua yeyote ya taarifa juu ya kuachishwa kazi na mwajiri wako au kuondolewa kwenye payroll?

Jibu kisha niendelee kukupa mbinu za kupata haki zako.

Koz binafsi niliondoka kazini na nimerudi bila wasiwasi...wao ndio hawakufuata sheria na taratibu. Nilipotea kwa siku zaidi ya 4000.
 
Last edited by a moderator:
1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA.
b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na afisa utumishi mie mtoro kazini.
2. Sina taarifa yoyote ya kuachishwa kazi na mwajiri na zaidi ya hapo documents kwenye files zimenyofolewa na kutupwa.
 
1. a/ Niliajiriwa mwaka 2007 wilaya ya kongwa kama mwalimu wa leseni,mwaka 2009 nikaomba kwenda kusoma DIPLOMA ya ualimu ila mie nikaenda kusoma Advance diploma ya ugavi chuo cha TIA.
b/Nimelipwa mshahara wangu mpaka nilipomaliza masomo na kurudi kazini mkuu wangu akanipokea ila afisa elimu na afisa utumishi wakasema mie mtoro kazini.
2. Sina taarifa yoyote ya kuachishwa kazi na mwajiri na zaidi ya hapo documents kwenye files zimenyofolewa na kutupwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom