Siku zote hizoo!!Bado anajipanga.
Au ndio maana hawajarudisha fomu mpaka sasa!!.Tume ipi?
Nenda kwenye katiba hakuna kitu inaitwa INEC.
Kila kitu kinachoendelea sasa kuhusu uchaguzi ni batili.
Halijafa kwani?Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao.
Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha fomu yake.
Kwa nini chama tawala hakitoi ratiba wala taarifa yeyote juu ya tukio hili kubwa linalogusa mustakabali wa taifa?
Au kimya hiki ni mkakati wa makusudi kutengeneza “surprise” kubwa ya kisiasa?
Je, mafukuto ya ndani ndio sababu ya kuchelewesha mchakato huu?
Wakati wagombea wengine wakisonga mbele, urudishwaji wa fomu ya Samia unaendelea kubaki kitendawili.
Wananchi tusubiri hadi lini kupata majibu?
Pia soma >> GE2025 - Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025
Hilo nalo ni jambo la siri?🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani shida iko wapi mkuu? Si mtaje siku mtakayorudisha fomu tujue!
Lucas Mwashambwa na genge lake waje watupe majibu!!Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao.
Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha fomu yake.
Kwa nini chama tawala hakitoi ratiba wala taarifa yeyote juu ya tukio hili kubwa linalogusa mustakabali wa taifa?
Au kimya hiki ni mkakati wa makusudi kutengeneza “surprise” kubwa ya kisiasa?
Je, mafukuto ya ndani ndio sababu ya kuchelewesha mchakato huu?
Wakati wagombea wengine wakisonga mbele, urudishwaji wa fomu ya Samia unaendelea kubaki kitendawili.
Wananchi tusubiri hadi lini kupata majibu?
Pia soma >> GE2025 - Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025
Tutangazieni mapema tujiandaeTume waitaifuta fomu
Mtakufa nyinyi, yeye mtamuacha pale akiendelea kuhumia wananchi.Halijafa kwani?
NIlitaka kuandika wataifuata.Tutangazieni mapema tujiandae
Ninyi ndio mnaosababisha rais nae atukanwe, ya nini kuanzisha ligi ya matusi si ukomentu tuu kistaarabu?Nyumbu bwana, hakuogopa kuchukua fomu mbele ya vitisho vya yule njiti aliyebemendwa ndo aogope kurudishia?!!!! Shenzy type.......
Hivi Kuna mtu anatukanwa kumzidi Samia?!!!!Ninyi ndio mnaosababisha rais nae atukanwe, ya nini kuanzisha ligi ya matusi si ukomentu tuu kistaarabu?
😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani shida iko wapi mkuu? Si mtaje siku mtakayorudisha fomu tujue!