Kurudia Uchaguzi Zanzibar, CUF watoa tamko

Kurudia Uchaguzi Zanzibar, CUF watoa tamko

Mimi nilitaka kujua hivi vikao vinaweza kuuahirisha uchaguzi wa marudio uliotangazwa na Jecha? Au ni vikao vya kupoteza muda ili kusubiria tarehe ya uchaguzi watu wafanye yao?
 
Sijui kwanini CUF walikubaliana na suala la kurudia uchaguzi.
 
Ningependa kuwashauri ndugu zangu wa Cuf visiwani zanzibar... kaka jussa najua hua unapita pita huku Jf... i know that all of u r going thru a very troubling moment indeed.. it is hard for you all.. lakn niwaombe ndugu zangu... katika vikao mtakavo fanya basi kama ilivotumika busara na hekima katika kipindi cha vikao 9 vya maalim... basi vivo hvo itumike busara... pigeni saana hesabu... opportunity cost ya kushiriki au kutoshiriki uchaguzi.
Kwamfano mkiamua kutoshiriki? Whats next? Si you will end up loosing everything? Dont you think its a chance ya makhasimu wenu ku celebrate even double? Na je mkiamua kushiriki uchaguzi? Dont you think that its going to be a platform ya kupata even better results na given this tym the Almighty mwenyewe might be fighting your case? If mkiamua kususa... do you think these guys will bother? I think they wont... so think twice kaka jussa... stay humble...let it pass... it has already happen... it is ireversable...

Lakini inauma sana kisa mtu ana BUNDUKI !!!!!!!
 
Mimi nilitaka kujua hivi vikao vinaweza kuuahirisha uchaguzi wa marudio uliotangazwa na Jecha? Au ni vikao vya kupoteza muda ili kusubiria tarehe ya uchaguzi watu wafanye yao?

CUF ni chama na chama kinaendeshwa na vikao halali kufanya maamuzi mazito kama hili la Jecha
 
Nina hamu ya kuona CUF wakisusa. Amani Karume alifanya kosa sana kuunda serikali ya mseto
Raha yako ya CUF kususa itatimia lakin Karume hakufanya kosa kuunda serikali ya mseto.Kama ulishawahi kwenda Zanzibar kabla ya 2010 na ukienda sahz utajua huo mseto umeleta mabadiliko makubwa sana hasa kwny maswala ya social interaction
 
Kama wana uhakika walishinda sasa tatizo liko wapi? Uchaguzi urudiwe na tumalizane na hii movie.
Hicho kitu ambacho Jecha amekiita ni marejeo ya uchaguzi ni 'uharamia' mtupu.

Hivi umeshawahi wapi kusikia watu wanatakiwa kwenda kwenye uchaguzi lakini wakati huo huo wanapiga STOP kuwa hamna kampeni zozote zitakazoruhusiwa?!

Hicho kitu ambacho maccm na Jecha wao wanaita ni uchaguzi wa marejeo, in fact wanatafutia tu 'venue' ya kumuidhinisha 'Gbagbo' wao aendelee kutawala kipindi kingine.
 
wao wakae kikao wasikae, waamue kushiriki au wasiamue, uchaguzi ni mwezi wa 3, tarehe 20,

sasa kama wanaona hawawezi wasuse kama kawaida, ila hata kama wangeiambia dunia nzima kuwa hatutaki wajue wamependa au hawajapenda uchaguzi utarudiwa,

ombi wasilete yale ya mwaka 1995, itakula kwao...
 
Hicho kitu ambacho Jecha amekiita ni marejeo ya uchaguzi ni 'uharamia' mtupu.

Hivi umeshawahi wapi kusikia watu wanatakiwa kwenda kwenye uchaguzi lakini wakati huo huo wanapiga STOP kuwa hamna kampeni zozote zitakazoruhusiwa!

Hicho kitu ambacho maccm na Jecha wao wanaita ni uchaguzi wa marejeo, in fact wanatafutia tu 'venue' ya kumuidhinisha 'Nkurunzinza' wao aendelee kutawala kipindi kingine.

huenda haujui kuhusu democrasia, google utaelekezwa, kampan zilishafanyika, uchaguzi ulikuwa kwenye hatua za kuchagua viongozi, dosari zikajitokeza hivyo, kinachorudiwa ni kupiga kula si kampan, jielimishe kidogo...
 
Sijui ni kwa nini viongozi wa nchi hii hawaioni hatari inayopaliliwa na akina Shein na balozi Iddi Seif.

Sijui ni kwa nini Shein na Iddi Seif hawaoni hatari ya mauaji ya watu wao yanayoweza kupelekea wakaswagwa kwenda mahakama ya ICC The Hague.

Pia sijui ni kwa nini hasa CCM Taifa haichukui maamuzi magumu ya kuusimamisha ujinga huu wa kurudia uchaguzi Zanzibar. Mbona 1984 ilipomtimua Aboud Jumbe?

Na mwisho sijui ni kwa nini wananchi wa Zanzibar hawaukatai upumbavu huu wa Tanzania bara kutaka iwaingize kwenye vita ya makusudi kwa sababu tu viongozi wameamua kuvunja katiba na kuinyima CUF ushindi.
 
wao wakae kikao wasikae, waamue kushiriki au wasiamue, uchaguzi ni mwezi wa 3, tarehe 20,

sasa kama wanaona hawawezi wasuse kama kawaida, ila hata kama wangeiambia dunia nzima kuwa hatutaki wajue wamependa au hawajapenda uchaguzi utarudiwa,

ombi wasilete yale ya mwaka 1995, itakula kwao...
Kwa hiyo nyinyi 'mainterahamwe' mmeamua kutekeleza ile kauli mbiu yenu ya Zanzibar kamwe haitakuja kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura!

Sasa kwa kuwa msimamo wa CCM unaeleweka ni huo na ushawahi kutolewa hadharani kwenye Bunge Maalum la Katiba kule Dodoma mwaka 2014 na kada wenu Asha Bakari.

Sasa kuna haja gani ya kupoteza pesa ya walipa kodi shilingi bilioni 7, kwa ajili ya kutumika kwenye hicho kiini macho, mlichokibatiza kwa jina la uchaguzi wa marejeo?!
 
huenda haujui kuhusu democrasia, google utaelekezwa, kampan zilishafanyika, uchaguzi ulikuwa kwenye hatua za kuchagua viongozi, dosari zikajitokeza hivyo, kinachorudiwa ni kupiga kula si kampan, jielimishe kidogo...
Sasa kama wewe mwenyewe unakiri kuwa uchaguzi ulushafanyika tarehe 25/10/2015.

Naamini pia unafahamu kuwa waangalizi wa ndani na nje ya nchi walitoa taarifa zao kuwa uchaguzi ule ulikuwa huru na haki.

Kama tujuavyo kuwa huyo Jecha alishatangaza matokeo hayo kwa siku 2 mfululizo kwa majimbo ya uchaguzi 33 na akawa amebakiza 21 pekee.

Kama pia matokeo yote ya majimbo 54 yalisainiwa pia na mawakala wa vyama vyote vikiwemo vya CCM na CUF, hivi huyo Jecha alikuwa ameoteshwa kwenye ndoto kuwa uchaguzi ule ulijaa kasoro hadi 'akakurupuka' na kuamua kuufuta??!!!
 
Fanyeni kazi kuondoa umasikini unaowasumbua, acheni kupoteza muda wenu kwa vitu vya kijinga!
 
Kama wana uhakika walishinda sasa tatizo liko wapi? Uchaguzi urudiwe na tumalizane na hii movie.
Mkuu CUF waliwahi Kukusanya Ushahidi Wa Matokeo Yote Vituoni kabla Tume Ya Jecha Haijachakachua. Ndio Maana Jecha Hakuwa Na Ujanja Mwingine Wa Kuibeba Ccm Akaelekezwa Na Mamlaka Za Juu Afute Matokeo Yote. Ushauri Wangu Kwa CUF Wakubali Kushiriki Marudio Ya Uchaguzi Ila Washinikize uchaguzi uundiwe tume huru ya uchaguzi. Naamini Ccm watatoka Kapa Hawata Ambulia Hata Kiti Kimoja.
 
CUF wakisusa ndio itakuwa furaha kwa CCM. Halafu kama wanaamini walishinda hofu yao ni nini?
 
Back
Top Bottom