Kurudia Uchaguzi Zanzibar, CUF watoa tamko

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Kufuatia tangazo jengine la kihuni lisilozingatia Katiba wala Sheria la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kutangaza tarehe 20 Machi, 2016 kwamba ni siku ya kile anachokiita uchaguzi wa marudio Zanzibar, Chama Cha Wananchi (CUF) kimeitisha vikao vya juu vya kitaifa vya Chama ili kujadili suala hilo na kutoa msimamo rasmi wa Chama.

Kamati ya Utendaji ya Taifa itakutana Jumatano, tarehe 27 Januari, 2016 na kufuatiwa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa litakalokutana Alkhamis, tarehe 28 Januari, 2016. Vikao hivyo vitafanyika Ofisi Kuu ya Chama, mjini Dar es Salaam.

Chama kinatoa wito na kuwanasihi Wazanzibari wote waliochoshwa na utawala wa kibabe na wa kidikteta wa CCM na ambao walikikataa chama hicho kwa kishindo tarehe 25 Oktoba, 2015 kuendelea kutunza amani na kuwa watulivu katika kipindi hiki kigumu na kusubiri maamuzi ya chama chao wanachokiamini.

HAKI SAWA KWA WOTE

ISMAIL JUSSA
KAIMU MKURUGENZI WA HABARI NA MAWASILIANO
 
CCM wanatupeleka Burundi
 
Kama wana uhakika walishinda sasa tatizo liko wapi? Uchaguzi urudiwe na tumalizane na hii movie.
 
Nashauri Pemba yote ususie huo uhuni ili wahuni wenzio na ccm ndo washiriki huo uhuni ili tuone itakavyo kua .
 
Hakuna jipya zanzibar zaid ya tamko hilo ambalo baadhi yetu wanasema sio la kisharia.ndivyo itakavyokuwa.wasuse sisi tule.
 
Kufuatia tangazo jengine la kihuni lisilozingatia Katiba wala Sheria la Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kutangaza tarehe 20 Machi, 2016 kwamba ni siku ya kile anachokiita uchaguzi wa marudio Zanzibar, Chama Cha Wananchi (CUF) kimeitisha vikao vya juu vya kitaifa vya Chama ili kujadili suala hilo na kutoa msimamo rasmi wa Chama.

Kamati ya Utendaji ya Taifa itakutana Jumatano, tarehe 27 Januari, 2016 na kufuatiwa na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa litakalokutana Alkhamis, tarehe 28 Januari, 2016. Vikao hivyo vitafanyika Ofisi Kuu ya Chama, mjini Dar es Salaam.

Chama kinatoa wito na kuwanasihi Wazanzibari wote waliochoshwa na utawala wa kibabe na wa kidikteta wa CCM na ambao walikikataa chama hicho kwa kishindo tarehe 25 Oktoba, 2015 kuendelea kutunza amani na kuwa watulivu katika kipindi hiki kigumu na kusubiri maamuzi ya chama chao wanachokiamini.

HAKI SAWA KWA WOTE

ISMAIL JUSSA
KAIMU MKURUGENZI WA HABARI NA MAWASILIANO
UCHAGUZI UKO PALE PALE NI VYEMA WAKA JIAANDAA KWA UCHAGUZI.
 
kinachotakiwa ni viongozi wote wa ukawa kwenda zanzibar,kuongoza matembezi ya miguu ya amani,nina imani ukawa ikiwachukua viongozi wote wa ukawa kuanzia ngazi ya kijji udiwani wavunge mapaka ngazi ya kitaifa wakitembea kwa miguu zanzibar itakuwa kete mhimu sana
 
JARIBUNI KUSUSA MPIGWE BAO MAANA VYAMA VINGINE TUTASHIRIKI
 
kinachotakiwa ni viongozi wote wa ukawa kwenda zanzibar,kuongoza matembezi ya miguu ya amani,nina imani ukawa ikiwachukua viongozi wote wa ukawa kuanzia ngazi ya kijji udiwani wavunge mapaka ngazi ya kitaifa wakitembea kwa miguu zanzibar itakuwa kete mhimu sana
MKILETA VURUGU MTAKIONA. JIANDAENI KWA UCHAGUZI PERIOD
 
Back
Top Bottom