Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Pole sana kwa kuichukia siasaWakati mwingine hata sielewe.CUF kwanini hawakutuma wajumbe wenye nguvu na hoja wamsaidie maalim kwenye vikao vya usuluhishi?
Nilisema kuna kajambo hapa.
Kinachofuatia ni uchaguzi kurudiwa,CUF kugoma,CCM na vyama vingine vidooogo vitafanya uchaguzi na mtasikia CCM imeshinda kwa kishindo.
Maalim nadhani unalijua hilo na inawezekana ndio matokeo ya vikao vyenu hivyo.
Naichukia sana siasa