jangala
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,583
- 2,362
Habari za asubuhi wandugu, bila kuchelewa naomba kuuliza kuwa:
1. Tendo la ndoa (sex) asili yake ni starehe au kuzaliana tu?
2. Je, sex ni lazima uende zaidi ya Mara moja ili uonekane rijali?
3. Je, kuna mnyama ambae anahusudu sex kama sisi Binadamu (anachukulia sex Kama starehe, anapimwa ushababi wake Kwa kupiga raundi 2 na kuendelea)
4. Kwanini mwanaume ukipiga bao zaidi ya moja, kiwango cha shahawa huzidi kupungua na sometimes hazitoki kabisa. Je, Hiyo ni dalili ya kuwa sex ni tendo mara moja Kwa muda huo na si zaidi ya hapo?
Kiufupi Najiuliza maswali mengi ambayo yanasababisha wanaume kuwa na kutokujiamini pindi wakiwa na wanawake kitandani.
Aidha kushindwa kurudia tendo Kwa haraka, wakati ninavyofikiri Mimi ni kuwa wanaume wengi wanakuwa watumwa wa fikra za wanawake za kumpima mwanaume kwa kiwango cha uwezo wa kudumu ndani ya tendo.
Kwa watakaoona inafaa kunitoa gizani nakaribisha mawazo yenu katika hili.