Kurudia tendo na kudumu zaidi ya dakika 30

jangala

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,583
2,362
Habari za asubuhi wandugu, bila kuchelewa naomba kuuliza kuwa:

1. Tendo la ndoa (sex) asili yake ni starehe au kuzaliana tu?

2. Je, sex ni lazima uende zaidi ya Mara moja ili uonekane rijali?

3. Je, kuna mnyama ambae anahusudu sex kama sisi Binadamu (anachukulia sex Kama starehe, anapimwa ushababi wake Kwa kupiga raundi 2 na kuendelea)

4. Kwanini mwanaume ukipiga bao zaidi ya moja, kiwango cha shahawa huzidi kupungua na sometimes hazitoki kabisa. Je, Hiyo ni dalili ya kuwa sex ni tendo mara moja Kwa muda huo na si zaidi ya hapo?

Kiufupi Najiuliza maswali mengi ambayo yanasababisha wanaume kuwa na kutokujiamini pindi wakiwa na wanawake kitandani.

Aidha kushindwa kurudia tendo Kwa haraka, wakati ninavyofikiri Mimi ni kuwa wanaume wengi wanakuwa watumwa wa fikra za wanawake za kumpima mwanaume kwa kiwango cha uwezo wa kudumu ndani ya tendo.

Kwa watakaoona inafaa kunitoa gizani nakaribisha mawazo yenu katika hili.
 
NI MWENDO WA KUOMBANA MSAMAHA
Sisi wanaume tunawaomba msamaha wanawake wote ambao kwa namna moja ama nyingine hawaridhiki na waume zao
 
Katafute tonge mzee, round hazikusaidii na lolote
Mimi nafikiri ukamsaidia kupata ufahamu kidogo kwenye mada yake kwani baada ya kushiba matonge makubwa ndio nafasi ya sex inachukuwa wakati wake vinginevyo shibe isiyotumika ni sawa na hakuna
 
kama bao moja unaenda hadi zaidi ya dkk 15,, inatosha pumzika na uendelee na ratiba nyingine,,

kama bao moja umelipata chini ya dkk 8,, my brother ni bora ukarudia tena,,

hii ni kwa afya ya ndoa au mahusiano yako,,
Niweke sawa hapa.

mimi nakojoa baada ya dakika 3 tu ila mme wangu anakuwa hajakojoa, sasa na yeye anahitaji kurudia rudia?
Maana yake mimi nakojoa kabla yake
 
Hivi vitu ni vya kiisia zaidi kwaiyo majibu yake ni tata kutokana na mitazamo ya kijinsia
 
Jawabu.

1. Ni kanuni na nidhamu ya maumbile ya binadamu ya kiumbe hai ( yote mawili ni mahitaji ).

2. Kila jambo ni kati kwa kati, na kumridhisha mwanza wako ni muhimu. Muhimu kumbuka mapenzi ni sanaa.

3. Wanyama wamenyimwa akili wana matamanio tu.

4. Manii yana ujazo wake. Mwanaume mwenye afya akipiga bao 1 ana uwezo wa kumwaga mbegu za uzazi (manii) millioni 40-billioni 1.2. Ujazo wa bao 1 mwanaume anaomwaga ni kati ya mililita 2-mililita 5. Tafsiri yake ni kwamba; kila bao mwanaume analomwaga anapunguza kiwango cha ujazo wa manii yake. Utakadiria mwenyewe ukipiga bao kadhaa utakuwa umemwaga ml kadhaa kutoka kwenye ujazo wa manii. Kiasi ulichokitoa ndicho kiasi ulichokipunguza.
 
jangala,

Sisi wanawake hisia zipo mbali, hivyi uataka kupigwa raundi mbili na kila moja iwe dakika 45, hapo walau nitakupa SHIKAMOO.

sesx ni starehe si kuzaliana, kuzaliana ni matokeo, kama isingekuwa hivyo Mungu asingeweka kufika kileleni, ingekuwa unaingiziwa na kukojolewa tu then unasubiri mimba, ila ukitaka kujua ni starehe, sisi wanawake ukimwona mwanaume suruali yake imetuna pale mbele unaanza kupata hamu, ujue hiyo ni starehe.

au umuone mwanaume ana kifua cha mazoezi hivi alafu ni sports body, yani unaweza kufika kileleni hata hajakushika
 
Dah..kihisabati...nishati inayotumika kwa mwanaume anapofanya mapenzi..ni wastani wa kcal 5/dk....kama ukifanya kwa nusu saa..utapoteza kcal 150 ...yaani sawa nguvu ambayo ungeitumia kukaanga kilo 5 za viazi ukala chips :cool: 🤣🚶‍
 
Kwa uzoefu wangu mdogo narudia hata Mara nne nkikutana na mtu angalau anajishughulisha na yeye ila hawa wa kulala ka gogo moja linatosha
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom