Kurudia tendo na kudumu zaidi ya dakika 30

Umeshaoa lakini au unaulizia kwa interest tu?kama umeashaoa,ulishawahi kuambiwa niongezee kingine sijatosheka au wewe tu na kiherehere chako unafikiri kuwa anataka kuongezewa kingine na kimoja huwa hakitoshi...?

Sisi huwa tunawaonea huruma namna mnavyohema kama mashine ya kukoboa ndiyo maana huwa hatuwaambii muongeze kingine.

Lakini pia hata mkiongeza cha pili huwa haturidhiki, ukitaka kujua nimeridhika baada ya kujozo hata kama ni la kwanza UTAONA NIMESINZIA kama pono., na hii ni kwa wanawake wote.
 
Tatizo linaanza unapotaka mashindano au kukomoa pasipokomolewa.
 
Swala la kurudia au kutokurudia tendo la ndoa lina sababu kedekede, mfano kuna baadhi ya wanawake ni wa baridi sana yaani afadhali na mgomba wa ndizi, sasa hapo utarajie kurudia,. Matokeo yake unapiga goli moja lefu yaani kutoka goli moja hadi nyingine kama penalti kisha anza kuangalia dari ya nyumba, tena ikibidi una login JF
 
Sisi huwa tunawaonea huruma namna mnavyohema kama mashine ya kukoboa ndiyo maana huwa hatuwaambii muongeze kingine.
Lakini pia hata mkiongeza cha pili huwa haturidhiki, ukitaka kujua nimeridhika baada ya kujozo hata kama ni la kwanza UTAONA NIMESINZIA kama pono., na hii ni kwa wanawake wote.
Unasemaje jaji mfawidhi! Dah!!!
 
Mimi sijui kwa vile niko singo
Nilijua ameongea kama mwanaume
Kuwa single hakumaanishi hufanyi(Jana nilipata huu msemo toka malumbano ya hoja itv). Eti mtu akikuambia yupo single haimaanishi hafanyi(nywi).
 
Kuwa single hakumaanishi hufanyi(Jana nilipata huu msemo toka malumbano ya hoja itv). Eti mtu akikuambia yupo single haimaanishi hafanyi(nywi).
Kwa wengine labda, sio mimi. Mada gani hiyo ilikuwa hadi wanaingiza mambo ya kufanywa
 
Back
Top Bottom