Kelele Huwa mnazitaka wenyewe tu
Kuna ndoa hata hawajui kelele .
Na kelele Huwa zinakuja mnapoamza kuzingua,ile too much!
Ss Muda wa kurudi SI inategemea na shughuli zako plus ratiba zako!?
Mke Huwa anajua kazi na ratiba za mumewe....
Kwani Kwa mfano ukiaga unapoenda kwenye mishe zako utapungukiwa nn?
Haya umechelewa au umepatia dharula kwani ukitoa taarifa unapungukiwa nn?
Wanawake bwana ni vitu vidogo sn ukiweza ht sio issue