mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
unaonekana una stress sana dada anguuChadema ni mazuzu, malofa ,hayajitambui yanataka nini kwenye maisha.
unaonekana una stress sana dada anguuChadema ni mazuzu, malofa ,hayajitambui yanataka nini kwenye maisha.
Mimi mmeniacha kidogo ,Hoja ni "Machinga na rushwa ya Migambo ili kuwarejesha wafanya biashara wadogo (machinga) kwenye maeneo yasiyo ruhusiwa kisheria.Chadema ni mazuzu, malofa ,hayajitambui yanataka nini kwenye maisha.
Hata Mimi nimejiuliza!! Kwa hiyo hao mgambo ni chademaChadema imeingiaje hapo acha ujinga
Nimeshangaa sana Leo nimepita maeneo ya Baridi posta nimekuta wameanza kupanga tena vitu, cbe wameanza kurudi tena. Mwenge na Ubungo the same!Kurudi kwa wamachinga kwenye maeneo waliyozuiwa kumeambatana na kuchangishwa rushwa ya 1000 kila mmoja ili uruhusiwe kupanga bidhaa zako barabarani.
Maeneo yote waliyofukuzwa sasa wanarudi kwa kasi kwa makubaliano na mgambo wa jiji kuwa kila jioni watawapoza elfu moja moja!.
Hiyo ndiyo Tanzania iliyokuwa inaliliwa na majizi Chadema.
Ni yeye kapanda cheo kawa mke mkubwa?Pole sana mke wa Amsterdam
barabara sio kibanda cha kuuzia nyanya bwashee.Kurudi kwa wamachinga kwenye maeneo waliyozuiwa kumeambatana na kuchangishwa rushwa ya 1000 kila mmoja ili uruhusiwe kupanga bidhaa zako barabarani.
Maeneo yote waliyofukuzwa sasa wanarudi kwa kasi kwa makubaliano na mgambo wa jiji kuwa kila jioni watawapoza elfu moja moja!.
Hiyo ndiyo Tanzania iliyokuwa inaliliwa na majizi Chadema.
Endelea kujitekenya nitakusaidia kucheka.Wajinga ndio waliwao - watoe tu hivyo vibukubuku vyao kwa pango la muda! Ila kuondoka wataondoka tu, iwe mvua iwe jua!
Anayeishi on handouts bado anao uhai, yule adui yake hajulikana hata yuko wapi.Hii au hiyo ndio maana halisi ya dola! Dola siyo maneno wala maandamo wala kukimbilia ughaibuni na kuishi on HANDOUTS!
Kwani walikuambia kuwa hizo rushwa ndio zitawafanya wasiondolewe milele!? Kweli msomi uchwara.Hawana akili hao..wanatoa hizo rushwa na mwisho wa siku watakuja kuondolewa tena
Kwani lazima utaje chadema kwenye kila uzi, hao mgambo si ni wana ccm na wamwajiriwa na serikali ya ccmKurudi kwa wamachinga kwenye maeneo waliyozuiwa kumeambatana na kuchangishwa rushwa ya 1000 kila mmoja ili uruhusiwe kupanga bidhaa zako barabarani.
Maeneo yote waliyofukuzwa sasa wanarudi kwa kasi kwa makubaliano na mgambo wa jiji kuwa kila jioni watawapoza elfu moja moja!.
Hiyo ndiyo Tanzania iliyokuwa inaliliwa na majizi Chadema.
Ujinga ni kuamini kuwa huyo sakala aliwapangia maeneo hao machinga wakakataa. Nenda ofisini kwake mwambie akuoneshe japo picha ya hayo maeneo aliyowapingia hao machinga kama atakuonesha. Hayo maelekezo yake uchwara ni upuuzi mtupu. Sana sana ataishia kukimbizana na wamachinga pale nje ya ifm, ili ile canteen ya mwanamke wake ipate wateja (Yaani wanafunzi wasiende kula nje).Nimeshangaa sana Leo nimepita maeneo ya Baridi posta nimekuta wameanza kupanga tena vitu, cbe wameanza kurudi tena. Mwenge na Ubungo the same!
Amos Makala anatakiwa kujua kuwa sifa alizopata si chochote endapo hatasimamia vizuri maelekezo anayotoa
Majibu ya hayo maswali najua unayo ila unataka kusumbua wana JF tu!Kwahiyo CCM mnajivunia kuwafanya watanzania wenye haki ya kuishi walipozaliwa wageuke wakimbizi wa kisiasa na kuishi uhamishoni?
Kumbe ndio sera zilizo kwenye manifesto yenu?
Inauma sanaUjinga ni kuamini kuwa huyo sakala aliwapangia maeneo hao machinga wakakataa. Nenda ofisini kwake mwambie akuoneshe japo picha ya hayo maeneo aliyowapingia hao machinga kama atakuonesha. Hayo maelekezo yake uchwara ni upuuzi mtupu. Sana sana ataishia kukimbizana na wamachinga pale nje ya ifm, ili ile canteen ya mwanamke wake ipate wateja (Yaani wanafunzi wasiende kula nje).