sefu ally w
Member
- Dec 26, 2014
- 71
- 23
Huu msuli ni wa PCB wakati tunatafuta one ya point 9Kama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
Dhaaa umenishawishi na me niende shule aise me nimekosa C moja ya historyKama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
Ahsante sana, hii kwangu itabaki stori.Huu msuli ni wa PCB wakati tunatafuta one ya point 9
Ila hongera aiseee
Ukiamua kurisiti utakutana na stori nyingi sana za kukatisha tamaa, utakutana na watu wamerisiti zaidi ya x2 wanatafuta credit moja lakin anakosa. We hii isikuvunje moyo, ziba masikio, jiamin na usome kwa bidii ukimshirikisha Mungu kwamba INAWEZEKANA hakika utatoboa. Nimerisit x1 moja nimechomoka kwani mi nina vichwa 7 na macho 50 si tunafanana. Nilikuwa natembea na kauli mbili tu mpaka nahitimu Chuo 1.IF NOT WHY NOT? (*kwanini nisifaulu?*) 2.IF THEM WHY ME? (*Kama wao wanafaulu kwanini mimi nishindwe?*) Na unaporisit ht kama unatafuta C moja, risit masomo zaidi ya mawili ili wakikaza moja kwingine unaponea. Kuna uzushi kuwa C ya kurisit sijui inaanzia ngapi, alama ya C ni ileile ya O-Level na PC.Dhaaa umenishawishi na me niende shule aise me nimekosa C moja ya history
Ni kweli wasome upepo maana Chuo kwa sasa PC hawapati mkopo.Ila kama ni science kwa huu upepo wa sasa bora arudie form three upya maana credit ni ngumu na ndalichako anaelekea kukataa vyeti vya kuunga unga. ...
Nime ku pm broNi kweli wasome upepo maana Chuo kwa sasa PC hawapati mkopo.
Kwanini asijaribu?Ku risit usijaribu bora arudie tu
ulikaza si kitoto ...kweli juhudi huleta mafanikio..........Kama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
Hatari kaka ilikuwa "jisaidie nami ntakusaidia". Sitaisahau 2011 kama mwaka wa elimu kwangu.ulikaza si kitoto ...kweli juhudi huleta mafanikio..........
Hamna kureseat f4 haisaidi na hawafaulu anzia f2 shule . kama vipi lete jina la kituo tuchek matokeo ya private au reseaterskama uko mwanza kuna kituo cha ku.resit na tunafundisha masomo yote kwa uzito sawa...kuna hostel kama utapenda kuishi pale ...wapo wengi waliokuja wamekata tamaa ila sasa wameona inawezekana kufaulu