Kurisit na QT ipi bora?

sefu ally w

Member
Dec 26, 2014
71
23
Naombeni ushauri wadau anayejua,Kati ya Kurisit naKusoma QT kipi bora?Ikiwezekana nipeni maelezo QT ilivyo,Ada yake,Namna ya kujisajili na Usomaji wake.Nina mdogo angu alifeli form4 ila sasa ana nia kweli ya kusoma.Ahsanteni.
 
Kama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
 
Huu msuli ni wa PCB wakati tunatafuta one ya point 9

Ila hongera aiseee
 
Dhaaa umenishawishi na me niende shule aise me nimekosa C moja ya history
 
Ukiamua kurisiti utakutana na stori nyingi sana za kukatisha tamaa, utakutana na watu wamerisiti zaidi ya x2 wanatafuta credit moja lakin anakosa. We hii isikuvunje moyo, ziba masikio, jiamin na usome kwa bidii ukimshirikisha Mungu kwamba INAWEZEKANA hakika utatoboa. Nimerisit x1 moja nimechomoka kwani mi nina vichwa 7 na macho 50 si tunafanana. Nilikuwa natembea na kauli mbili tu mpaka nahitimu Chuo 1.IF NOT WHY NOT? (*kwanini nisifaulu?*) 2.IF THEM WHY ME? (*Kama wao wanafaulu kwanini mimi nishindwe?*) Na unaporisit ht kama unatafuta C moja, risit masomo zaidi ya mawili ili wakikaza moja kwingine unaponea. Kuna uzushi kuwa C ya kurisit sijui inaanzia ngapi, alama ya C ni ileile ya O-Level na PC.
"NO WAY TO PASS THE EXAMS RATHER THAN STUDYING", "STUDY UNTIL SOMETHING HAPPEN"
 
Kama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
ulikaza si kitoto ...kweli juhudi huleta mafanikio..........
 
Rudia f2 utakuwa fresh au ni PM no yako nikupe marlezo kwenye cimu. Ni mvivu WA text
 
kama uko mwanza kuna kituo cha ku.resit na tunafundisha masomo yote kwa uzito sawa...kuna hostel kama utapenda kuishi pale ...wapo wengi waliokuja wamekata tamaa ila sasa wameona inawezekana kufaulu
 
Hamna kureseat f4 haisaidi na hawafaulu anzia f2 shule . kama vipi lete jina la kituo tuchek matokeo ya private au reseaters
 
Kwa ninavyo faham mimi kuwa QT ni kwa mtu ambaye hajawai Fanya mtihani wa form 2 ndiye anaruhusiwa kuanza QT ila kuresiti ni kwa mtahiniwa ambaye ameshawai fanya mtihani wa form 2,hivyo basi yeye anahitajika kurisiti bt akomae kweli aache mchezo akikomaa ni rahisi atafaulu tu coz mm ni miongoni mwa mtu niliyewai risiti nikafanikiwa kufauli now nipo chuo so ajaribu rudiakidato cha 3 kwa maandalizi mazuri.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom