Naungana na wewe mkuu, mm sio shabiki sana Wa bongo fleva lkn niliposikia hili dude nikajua kabisa jamaa kalenga mbele.........
WCB wametoa nyimbo kibao tuu wakati Alikiba akiwa kimya akifanya tour zake, huu ni mwendelezo tuu wa WCB kutoa single zake ilizonazo tusichukulie sana katika fikra za kushindana shindana japo ushindani upo...
na WCB wanaonyesha kuwa bado wanahifadhi kubwa ya nyimbo ndani ya kapu lao la kuweza kutoa muda wowote fans wao wakitaka watoe...
usifananishe game of thrones na upuuzi wakina Diamond na Alikibawanaaachia wimbo ovyo Kama season ya Game of thrones