Bila CCM madhubuti nchi itayumba kabla ya kuchukuliwa na CDM!!
Lowasa anatisha
Katiba ya CCM inatamka chochote kuhusu kufikisha 50%? Au ni kwa ajili tu ya Jimbo la Arumeru?Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.Demokrasia CCM ni safu sana.Source: Nape kupitia Clouds FM
Chadema waitumie nafasi hii kujiimarisha zaidi jimboni.Acha waendelee kujeruhiana na makovu yaongezeke! hii inazidi kuongeza nafasi ya CHADEMA kunyakua jimbo
Mkuu MAFILILI demokrasia gani unayo sema, ulevi wapombe na rushwa ndio demokrasia???? Kwa taarifa yako labda muwaweke TAKUKURU kwa vile wanawasikiliza bila hivyo fedha ya Mheshimiwa fulani itamwagwa tena na mtu wake apite!!!! Vueni magamba yatawaozesha mwili wote, poleni!!!!!Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.
Demokrasia CCM ni safu sana.
Source: Nape kupitia Clouds FM
Unafiki mtupu,mbona za uraisi hawakusema zirudiwe?
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.
Demokrasia CCM ni safu sana.
Source: Nape kupitia Clouds FM
Kura za maoni za CCM kwa ajili ya kumpata mgombea wa jimbo la Uchaguzi Arumeru kurudiwa tarehe 1/03/2012!!
Hii ni kwa mujibu wa Nape akihojiwa na Clouds!!
Katiba ya CCM inatamka chochote kuhusu kufikisha 50%? Au ni kwa ajili tu ya Jimbo la Arumeru?
Kura za maoni zinarudiwa baina ya Sioi Sumri na W. Srakikya kwa kuwa hawakufukisha asilimia 50.
Demokrasia CCM ni safu sana.
Source: Nape kupitia Clouds FM