salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 653
​Watanzania wengi leo wanajikuta wanashangilia bila kujua msingi wa Ushindi wa uchaguzi ni upi.
LOWASA
- Lowasa anapata vikundi vya kumshangilia kwa kuwatumia wafuatao
- Mzee Chizii (Mwizi wa Kura na mjanja wa kukusanya mikutano)
- Gwajima (Kazi zake kwa sasa anafanyia Nigeria, ambapo Siku ya Jumapili hatoweza kufanya anayoyafanya sasa, kwani hata kanisani kwake hafanyi miujiza yoyote Jumapili)
- Patel (wanagawa hela za watakaoigiza kuzimia, kudeki barabara nk)
DR. JOHN POMBE MAGUFULI
- CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000
- MAGUFULI Anafanya mikutano mikubwa wilaya zote nchi nzima
- Mama Samia Sululu anafanya mikutano wilaya zote nchini
- Jumuiya za chama (UWT, UVCCM, JUMUIYA YA WAZAZI) zinafanya kampeni kila kata
- Magufuli club inafanya kampeni kila kata nchi nzima kila Club ina vijana wasiopungua 80 kila kata
- Kampeni ya Mama Ongea na mwanao inapita wilaya zote nchi nzima
- Kampeni ya timu Bajaji inapita mpaka majumbani kwa watu.
- Watu wengi UKAWA wanamkubali MAGUFULI kuliko Lowasa
KWA KAMPENI ZA NAMNA HII NAMUONA MAGUFULI AKISHINDA KWA ASILIMIA NYINGI.
USIPOTEZE KURA YAKO
PIGA KWA MAGUFULI
Kampeni za ccm ziko juu sana hata kama ni chafu; mimi sioni kampeni ya maana UKAWA bali naona tu umati uliyoichoka ccm. Hilo pekee halitaipa UKAWA ushindi kwa namna yoyote ile. Huu ni mpambano kati ya wanasiasa na wanaharakati; sioni siasa ya aina yoyote pale UKAWA wao wasubiri kulia tu na kusingizia wameibiwa kura amabazo hazipo