barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Hii haina ubishi, kwenye mitandao, Lowassa anashinda kwa mbali sana, ila ktk ballot box, Magufuli ana pumzi nyingi sanan.Ni utafiti nilioufanya ktk mikoa kumi ya Tanzania bara,kupitia mitandao ya kujamii na vyyombo vya habari na kugundua kuwa kura za Magufuri zinapungua na za Lowassa zinaongezeka na uchaguzi ukifanyika Leo Lowassa atashinda kwa kishindo